Illuminati

fela

New Member
Aug 5, 2011
1
0
Wewe uliyonayo matini mbalimbali yahusuyo illuminati(secreat society) nitumie
 
Du mkubwa Fela, umekuja na mkwala wa illuminati, vp lakini vijana akina chege chigunda mtoto wa mama said a.k.a fundi chuma na wenzake wapooo?
 
Wewe uliyonayo matini mbalimbali yahusuyo illuminati(secreat society) nitumie
Mkuu kuwa mwangalifu sana na be careful on what you wish. Nimeona waliofuatilia ha kuamini haya mambo ya secret societies, na believe me or not, akili zao zimekwenda ulimwengu mwingine na ni ngumu kuwabadilisha tena. Kuwa makini sana kwani hata your faith may be tested na uka-fall in that trap!
 
Back
Top Bottom