..Ilikua Mv Bukoba..sasa Mv spice...isije ikwa Mv Liemba?

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,480
78,718
..Ni kawaida yetu watz kulaumu na kutoa lawama/shutuma//pindi itokeapo Ajari.....baada ajari ya juzi huko znz..na baada ya kupitia habari tofauti tofauti..kuwa Mv Spice kuwa ni ya zamai..yaani imechoka...

sasa nauliza kama hiyo Mv Spice ilikua ya zamani...vipi Ile Mv Liemba kule Kigoma? ziwa Tanganyika?

maana nayo Mv Liemba ni ya long time..toka enzi za mkoloni..je inafanyiwa ukarabati wakutosha?


Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom