Hii mada imenikumbusha vitu vingi.Huwa sitoi fedha ya aina yoyote kwa askari wa usalama Barabarani,Nina bahati huwa hawanisimamishi hovyo(kutokana na aina ya gari ninayoendesha).
Mara chache wale wanaokosea njia huwa nafanya yafuatayo
huwa siwaambii,lakini nina recorder kwenye gari,ninachofanya ni kurekodi kila upuuzi wanaosema.nikishaona haelewi,kang'ang'ania kuomba rushwa,na anaonesha muelekeo wa mie kumtimizia njaa yake huwa namuomba dakika 5 tu asikilize upuuzi woote alioungoea,ikishafikia stage hii,basi kinachofuata ni jamaa kutahayari,kuomba radhi,kunukuu vifungu visivyokuwepo,na kuondoka.
Kama nina kosa obvious (niko makini sana barabarani,gari ninayotumia ni mpya,haina makosa ya kipuuzi),huomba notification na humweleza waziwazi kuwa sitampa pesa ya aina yoyote pale barabarani kwani yeye sio muhasibu wa serikali.
Kwa stage hizo ninazopitia hapo juu napenda ku-declare kuwa sijawahi kutoa RUSHWA BARABARANI,EVER.

- sifungui kioo
- sifungui mlango
- siweki gari pembeni y abarabara kusipo na parking
- sisimami katikati ya barabara kuwasikiliza.
- sisimami kama sina kosa,barabarani sio sehemu ya kuombana leseni(huu ni msimamo wangu)
- Gari muda wote huwa locked,with radio on,eyes on the road,and sight mirrors.not on some shitty traffic(nimeshanote wanaosimamisha bila mie kuwapa attention)