ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,604
Serikali za Zambia na Tanzania Kwa Sasa ziko kwenye Majadiliano na China Ili kuwapa uendeshaji wa reli ya TAZARA ambayo pia ilijengwa na China lakini Kwa miaka Mingi imekuwa underutilized.
Kwa Sasa kikosi kazi kutoka Chika tayari kinaendelea na kazi ya upembuzi yakinifu wa namna ya kuifufua na kuifanga reli hiyo iwe na Tija kiuchumi.
Ni maoni yangu kwamba Kwa Sasa reli ya TAZARA inaishia Mji wa Kapirimposhi Zambia na pale imeungana na Reli ya Kutoka Lobito-Angola-Lubumbashi Hadi Kapirimposhi.
Mojawapo ya sababu zinazotajwa kuifanga TAZARA isilete Ufanisi ni kutoungana na Mji wenye migodi Mingi wa Lubumbashi huko DRC hivyo wasafirishaji kuamua kutumia Malori kuepuka gharama za pakia pakua.
Hivyo basi ni maoni yangu kwamba Serikali zetu za Zambia,Tanzania na DRC zije na proposal Kwa China Ili kujenga vipande vipya vya reli ambavyo Kwa maoni yangu vitaleta Tija na Ufanisi wa TAZARA na kukuza uchumi wa Nchi hizo.
Route Mpya nazopendekeza ni zitapita kwenye Miji ifuatayo;
1.Kasama-Luwingu-Chipili-Mansa(ZBA)-Lubumbashi(DRC)-Solwezi(ZBA).
-Njia hii itaunganisha Mji wa Lubumbashi Moja kwa Moja na TAZARA Kupitia kwenye Makutano ya Kasama ambapo Kuna reli ya TAZARA.Pia reli inaweza kuwa extended Hadi Kaskazini mwa Zambia kwenye Mji wa Solwezi.
2.Kasama-Luwingu(ZBA)-Kasenga-Likasi(DRC).
-Route hii itaanzia Mji wa Kasama ambao unapitiwa na Reli ya TAZARA hivyo utakuwa ndio Maungio na inaenda kuishia Mji wa Likasi ambapo inaungana na reli inayotoka Bandari ya Lobito ya Angola.
-Hizo route Mpya zote zinapitia kwenye Maeneo ya Migodi na ni shorter distance ikilinganishwa na mzunguko wa Kupitia Kapirimposhi na ambako haifiki Lubumbashi.
3.Makambako-Malinyi-Nyerere NP-Liwale-Ruangwa-Mtwara Port.
-Reli hii ikijengwa itafanya pale Makambako kuwa Dry Port na makutano ya reli.
-Hii route ni muhimu Kwa sababu itampa msafirishaji option ya kuchagua wapi apigishe mzigo wake kati ya Dar au Mtwara Ili asichelewe na in fact ni route nzuri sana Ili ku boost Bandari ya Mtwara na kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar.
Ukiangalia umbali wa kutoka Makambako Hadi Dar na Makambako Hadi Mtwara via proposed route ni the same so hakuna haja ya kurundikana Dar Port.
So Kwa kuwa Wachina wanaendelea na tathmini ni vyema TAZARA na Serikali husika waweke Hilo swala mezani Ili kuangalia uwezekano wa kujengwa,gharama husika na faida kiuchumi.Japo Kwa haraka haraka ukiangalia Ramani zilivyokaa ni wazi ni profitable routes.
Pia soma
My Take
Pamoja na mapungufu yake,Mambo kama haya ndio Yalikuwa yanamtofautisha Mwendazake Magufuli na wengine ambao Kila kitu wanaona hakiwezekani.

China Kutumia Shilingi Trilioni 2.5 ($1Bilion) Kuijenga Upya(Upgrade) Reli ya Tazara kuwa SGR
Wakati ushindani wa Kukamatwa rasilimali muhimu yaani critical minerals kati ya China na USA ukipamba moto, Serikali ya China imeiteua Kampuni ya CCCE kama Mjenga na muendeshaji wa reli ya Tazara Kwa Ajili ya wawekezaji wa China. Kwa mujibu wa maelezo ya Serikali ya China,Nchi hiyo inapanga...
www.jamiiforums.com