Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 906
- 2,213
Kuna kila dalili kuwa maamuzi ya kutoa sadaka Bandari yetu yalishafanyika kwa mujibu wa maelezo ya Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa kupitia BBC kwa madai "hatuna fedha Trilioni 4 kujenga gati Mpya 9" hivyo Waarabu wa Dubai wanazo fedha. Chambuzi nyingi zimeshafanyika lakini Kuna danganya toto eti "tunakusanya maoni" ya hati ya Dharura Bungeni.
Naombeni mnisaidie. Ni nani hasa anamshauri Samia Suluhu Hassan masuala ya uchumi? Tukimfahamu huyu ndiye tutalala naye mbele.
Naambiwa ni mwanamke Mzanzibari alikuwa pale UDSM ndiye amevutwa Ikulu. Mnaomfahamu tupeni CV yake na sura yake "tufanye yetu". Karibuni.