Ili kukilinda Kipaji cha Beki Tshabalala kinachopotea, kuanzia sasa nikimuona Kawe kwa 'Goma' lake 'nampopoa' na Mawe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,930
109,726
Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa ya Makaburi Matatu Kawe Ukwamani kwa Goma lake nampopoa na Mawe ili aachane nae upesi na hilo Goma liendelee na Wachezaji Mkude ( Yanga ) na Nyoni ( Namungo ) na katika hili Sitanii nitampopoa Kweli.

Mtoto Mdogo anapenda mi 'Inye' tu.
 
Mmmmm kazi kweli kweli...alioa muarabu ...kumbe hobby iko inye....
 
Kucheza chini ya kiwango mechi au mbili sio kesi, ukizingatia ilikuwa ugenini.

Ila hata kama sababu ni hilo 'tenki' simu zipo, anaweza kuwa yupo Mgeni Nani, simu moja tu.
 
N
Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa ya Makaburi Matatu Kawe Ukwamani kwa Goma lake nampopoa na Mawe ili aachane nae upesi na hilo Goma liendelee na Wachezaji Mkude ( Yanga ) na Nyoni ( Namungo ) na katika hili Sitanii nitampopoa Kweli.

Mtoto Mdogo anapenda mi 'Inye' tu.
😅😂😁😁😁 Ndo maana skuiz kiwango kimeshuka
 
Tunaomba picha la goma
JamiiForums1629039232.jpg
 
N

Ndo maana skuiz kiwango kimeshuka
Kubaiolojiana kunamaliza sana nguvu, huwa nakataga pumzi ya mazoezi ikishuka toka dakika 60-75 kwa kukimbia hadi dakika 45 tu kwa shoo ya kawaida, ila shoo ya kibabe huwa sizidishi hata dakika 30 tu nakuwa hoi bin taaban .
 
Na hii imekua fimbo haswaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom