1979Magufuli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 438
- 1,752
Kwa sasa sijaona beki wa kulia zaidi ya huyu mwamba, hakuna cha Yao Yao, wala Kapombe, wala Lusajo, hakuna.
Kijiri ambaye aliwahi kuwa beki wa kulia wa KMC ana nguvu, ana spidi yaan mnyama ngiri mjinga tu kwake halaf ana kimo cha boli, lakini eti AFCON ameenda Lusajo, naamini Kijiri akichezea Simba au Yanga hawezi kukosa Stars, never.
Simba, nawaomba kabla dirisha halijafungwa huyu mtu anatosha kabisa mbavu ya kulia, mpelekeni Duchu kwa mkopo huko.Msiseme sikuwaambia.