Ila wanawake…

Melancholic

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,831
3,063
Wakuu najua mpo wazima wacha niende kwenye point moja kwa moja.

Kuna group moja huko watsup la kuhusu mambo ya kijamii na kula bata na 90% wanawake ndio wengi bac kuna siku tulikutana member kwa ajili ya misosi bac tukafahamiana na mdada yupo humo anaofisi jirani na mitaa yangu.

Siku moja akanipigia simu kuwa anataka kuhamia huku jirani na ofisi yake ili apunguze gharama za nauli nikamwambia usijali kuna madalali wanangu ntawachek bac mwanaume nikaingia mtaa nikachek na madalali tukapata room mtoto akahamia hapo ni jirani sana na makazi yangu bac life likaenda fresh.

Tukawa tunachat tu kawaida dem ni mzr but sikuwa na shobo nae ila cha kushangaza huyo dem amekuwa mtu wa kulalama kila siku kuwa mimi ni mbahili kwamba toka ahamie kitaani kwangu hajawahi kula hata 50 yangu na sijawahi kumtoa out wakati tupo majirani.

Jinsi anavyoongea ni kama utani ila najua anamaanisha. Maana imekuwa ndio kauli zake kila uchwao.

Mpaka huwa natamani kumuuliza kwani huna mpenzi mpaka uanze kulia na mimi kila siku. Kiukweli huyu mdada ananishangaza sana

Na huwa yupo tayari nimtoe out muda wowote na siku yoyote hata iwe usiku mkali huwa hapingi ni mimi tu ndio huwa nampuuza. Na akijua nimeenda kiwanja bila kumwambia basi atanitumia furushi la lawama.

Juzi kati kanipigia simu et kuwa ana njaa nikamfata kwake nikampeleka lounge kaagiza kitimoto bac muda huo anakula kakaanza kunipigisha stori za dildo mara punyeto nikawa nakaangalia tu kakamaliza nikakarudisha kwake.

Kwa mambo haya nyinyi wanawake sometime mnafosi tu kupigwa miti hata kama mtu hakuwa na mpango, mtu sio mpenzi wako ni ushkaji tu but unafosi upewe hela na kutolewa out kama sio kutafuta rungu ni nini??
Na mimi pesa zangu huwa haziliwi kizembe hivyo kisa utelezi ila kwa hili lazima huyu mchaga nimpelekee moto
 
IMG_20230915_171548.JPG
 
Wakuu najua mpo wazima wacha niende kwenye point moja kwa moja.

Kuna group moja huko watsup la kuhusu mambo ya kijamii na kula bata na 90% wanawake ndio wengi bac kuna siku tulikutana member kwa ajili ya misosi bac tukafahamiana na mdada yupo humo anaofisi jirani na mitaa yangu.

Siku moja akanipigia simu kuwa anataka kuhamia huku jirani na ofisi yake ili apunguze gharama za nauli nikamwambia usijali kuna madalali wanangu ntawachek bac mwanaume nikaingia mtaa nikachek na madalali tukapata room mtoto akahamia hapo ni jirani sana na makazi yangu bac life likaenda fresh.

Tukawa tunachat tu kawaida dem ni mzr but sikuwa na shobo nae ila cha kushangaza huyo dem amekuwa mtu wa kulalama kila siku kuwa mimi ni mbahili kwamba toka ahamie kitaani kwangu ajawahi kula hata 50 yangu na sijawahi kumtoa out wakati tupo majirani.
jinsi anavyoongea ni kama utani ila najua anamaanisha. Maana imekuwa ndio kauli zake kila uchwao.

Mpaka huwa natamani kumuuliza kwani huna mpenz mpaka uanze kulia namimi kila siku. Kukweli huyu mdada ananishangaza sana

Na huwa yupo tayari nimtoe out muda wowote na siku yoyote hata iwe usiku mkali huwa apingi nimimi tu ndio huwa nampuuza. Na akijua nimeenda kiwanja bila kumwambia bac atanitumia furushi la lawama.

Juzi kati kanipigia simu et kuwa ana njaa nikamfata kwake nikampeleka lounge kaagiza kitimoto bac muda huo anakula kakaanza kunipigisha stori za dildo mara punyeto nikawa nakaangalia tu kakamaliza nikakarudisha kwake.

Kwa mambo haya nyinyi wanawake sometime mnafosi tu kupigwa miti hata kama mtu hakuwa na mpango, mtu sio mpenz wako ni ushkaji tu but unafosi upewe hela na kutolewa out kama sio kutafuta rungu ni nini??

Kiukweli sikuwa na mpango na huyu mchaga ila sasa nimechoka na lawama zake ngoja nimpelekee moto
Kuna baadhi ya wanawake inabidi uwaangalie tu km walivyo. Ukijifanya una tamaa ndiyo mwanzo wa kubeba matatizo hata kuvuruga kbsa maisha yako kiujumla.
Safi sana. Kaangalie hivyo hivyo
Mimi nilishaacha kutongoza wanawake ovyo ovyo, kuna wengine hawana utulivu wa akili kabisa.
Kama huyo mwanamke anawaza kutumia pesa zako tu, hapo mkuu hilo ni bomu. Kimbia
 
Mkuu nakimbia vibaya sana mwanamke akikosa atention yako bac huwa anachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom