Siku zote tulikua tukipiga kelele kwa sauti moja kuhusu kuchukuliwa hatua za kisheria kwa viongozi mafisadi,sasa leo tena upepo umebadilika,tumeanza kuwapa support badala ya kushnikiza washtakiwe!inashangaza sana.
Siku zote tulikua tukipiga kelele kwa sauti moja kuhusu kuchukuliwa hatua za kisheria kwa viongozi mafisadi,sasa leo tena upepo umebadilika,tumeanza kuwapa support badala ya kushnikiza washtakiwe!inashangaza sana.
lower sir ndio alama ya ufisadi Tanganyika!
Njaa na ukosefu wa akili ni vitu vibaya sana. Kuna watu wanachukulia siasa km ushabiki Wa Simba na Yanga bila kujua kuwa siasa inagusa maisha Yao ya kila siku.
Watu wengine wananunuliwa kwa 50,000 anauza utu wake na hawezi kufikiria na kuona nje ya box alilofungiwa. Wapo wengi humu JF na nje ya jukwaa hili.
Ni baadhi ya watu walionunuliwa na kufungua ids nyinginyingi hapa jukwaani kiufupi wapo wachache msipate tabu nao oktoba watatafuta pa kuendea baada ya kula vya watu
Kwa Kweli inashanga sana sana na kwa mtu mwenye akili timamu LAZIMA ushikwe nakigugumizi sababu Leo mnapiga Kelele fisadi Kesho mnaandamana kudu ungu mkono na Chama eti kimteua kugombea Urais. WATANZANIA wengi ni wendawazimu, ndiyo maana wananunuliwa kwila mmoja anabei yake.Siku zote tulikua tukipiga kelele kwa sauti moja kuhusu kuchukuliwa hatua za kisheria kwa viongozi mafisadi,sasa leo tena upepo umebadilika,tumeanza kuwapa support badala ya kushnikiza washtakiwe!inashangaza sana.