Ya pombe au ya Tanzania mkuu???Ya POMBE?
nomba kwa jf member yeyote atuwekee picha za nyumba za marais wastaafu afrika,
nimependa ya Windhoek Namibia
Ikulu yetu ni nzuri sana tena sana.
ingekua nzuri ingewekwa kwenye TOP 10 ya ikulu nzuri
Nafikiri Mr Chin angeleta ikulu mbaya afrika huenda tukaikuta (not sure with this)
Duuh..ndo maana mu7 hataki kuiachia kabisa!!..sijui nikawe rais wa misri:shock: