Ikulu, Dar es Salam: Rais Samia anawaapisha Majaji Wateule

Tanzania ni yetu sote sisi kama CHADEMA tunayo haki ya Kikatiba ya kufanya Siasa bila buguza au mnapenda

Mbina CCM mnalazimisha kuliongoza Taifa kwa nguvu wakati Wananchi hawawatakii
Tuliza mzuka kwanza. Biswalo Mganga anaapa. Habari za mikutano inakuja mama ni msikivu.
 
Anaapa kwa biblia gani?Leo nimejua ni kwa nini kuna watu ambao huwa wanaamini kuwa Mungu hayupo!
 
Kwahiyo amewapuuza
Ule wa Chadema ulikuwa ushauri kama wadau wa siasa wa nchi hii. Kwa hiyo anayo mamlaka ya kuukubali au kuukataa.
Kupuuza ni kama Samia anavyo mpuuza mwendazake kipenzi chenu kwa mfano:
1. Chanjo ya corona,
2. Kuagiza uchunguzi wa vibaraka wake eg. SABAYA nk
3. Vyombo vya habari kuwa huru
4. Wale aliowatosa kwa chuki kuwarudisha kwenye utumishi eg. Mulamula, Makala nk
5. Na mengine mengi.
HUKO NDIO KUPUUZA
 
Sifurahii mtu kuonewa. Ila mtu umeonewa bora ufungwe Mungu ajue umeonewa. Kwani Dpp alikuwa analazimisha kukubali makosa?
sasa tuone hizo B 60 alizozifungulia BOT atazitoaje?
ni bora kawa Jaji akutane sasa na Habinder Sigh na Ruge waliomkatalia kumgawia pesa ya dhuluma ili wazile na Sukuma gang
Sasa Kesi ya kina Ruge DPP atamwambia Jaji Biswalo shitaka linaondolewa kwa faida ya Taifa
mje tena na kelele zenu
 
Kwa mtazamo wangu sio vita ila ccm ndio wanifanya vita sisi CHADEMA na wao CCM sote tunataka ridhaa ya Watanzania Serikali ingeweka Uwanja sawa wa siasa halafu Watanzania waamue nani wanamtaka wala sio rocket science
CCM haikubali maana inajua wazi haipendwi
 
Back
Top Bottom