Iko wapi furaha Jamani?

Akagando

JF-Expert Member
May 24, 2012
533
116
Habari za Asubuhi wanaJF.nimekuwa katika swali kila siku kwamba Furaha zaidi upatikana ukiwa Singleau ukiwa kwenye inrelationship.Jamani wanaJF Msaada zaidi kwa hili?
 
Ukiwa single_but uwe player mkuu....hapo ni full joy.

Nb:ukimwi upo na unaua_play safe!
 
Ukiwa single_but uwe player mkuu....hapo ni full joy.

Nb:ukimwi upo na unaua_play safe!

kumbuka hata wataalamu wa kisayansi wana sema hakuna dawa ya kukinga ukimwi asilimia 100%.kwa hiyo hata kuwa single hakuna furaha.
 
ukiwa single kuna raha yake married pia kuna raha yake.

we usiki yanayo tukia mjini mara mke wa mtu kafuma gesti at the same time mme anaye anatembea na housegirl hiyo sio furaha pia unaweza ukawa single ukaingia majaribu ya kutamani wake wa watu.bado sijaona furaha zaidi hiko wapi?
 
Furaha inategemeana wewe mwenyewe unavoitafisiri, unaweza ukawa single usiwe na furaha au ukawa na furaha, unaweza ukawa kwenye relationship ukawa na furaha au usiwe na furaha so in short furaha inakutegemea wewe mwenyewe kuicreate na sio mwingine. ITS ALL ABOUT YOU
 
inategemea ukiwa singo vitu gani huwa unainjo na ukiwa katka mahusianao kama mwenza wako anakupa vile unavyotaka...mi kwangu kote kote singo shangwe kama kawa ....kwenye mahusiano kama ilivyoandikwa.
 
Back
Top Bottom