Ikiwa bunge,wazir mkuu,rais watashindwa kututetea,mungu atatutetea watanzania,

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Imebaki masaa Machache sana watanzania uhuru wetu na mali yetu tunayo dhulumiwa na wachache itaenda kurudi mikononi mwetu. Wao wana jeshi,silaha nzito na kila aina ya ulinzi ila sisi tunaye Mungu alie Baba wa watanzania wote pasipokujali, dini zao wala makabila ama rang zao.

Taifa hili limeingiliwa na mchwa ktk misingi yake na kama sio Mungu kushuka na kuwatetea watanzania mchwa hawa wataiangusha misingi ya taifa hili na huo ndio mwisho wa Tanzania. Hatuitaji nchi za ulaya or either of them kuja kutusemea. Watanzania tumechoka na kama Rais anadhani watu wanapumzi aendelee ila Mene mene Tekel na perezi.
 
Back
Top Bottom