fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 355
- 51
Uko na rafiki yako.mmezaliwa,mmeishi na hata mmesoma shule moja..tumuite kaka wa kwanza dulla na wapili tonny..wote mko na mabinti mnawapenda sana ila hamjachumbiana..dulla akiwa na rita na tonny akiwa na hadija kama wapenzi..mmekwenda mjini pamoja kujipa raha na usiku mnatafuta guest ila zote zimejaa na mnapata room singo..bas mnafanya mapenzi kila mmoja na mpenz wake.halafu baada ya mda mnawatuma wapenz wenu kuleta vinywaji.warudipo,wanawashauri kuwa kweli nyote ni marafiki wa dhati ila kwa leo tumeamua hadija anataka sana kumjua dulla kimapenzi na vice versa..je?, utakubaliana na kauli za hao mabinti..yani mbadilishane wapenzi japo kwa ucku mmoja tu?