Ijue Mikoa 10 ya Tanzania yenye Uchumi Mkubwa na Iliyoendelea zaidi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Imetoa data zinazoonyesha Ukubwa wa Uchumi Kwa Kila mkoa Kwa Tanzania Bara Kwa mwaka 2022.

NBS imechapisha kitabu Cha Hali ya Uchumi wa Taifa mwaka yaani Tanzania in Figures 2022 zinazoonesha Ukubwa wa Uchumi wa Kila Mkoa(Regional GDP) na jinsi unavyochangia kwenye Pato la Taifa (GDP) Kwa Mikoa yote 26 ya Bara.

Orodha ifuatayo inaonesha Mikoa 10 yenye Uchumi na Maendelea zaidi kushinda Mingine( Regional GDP at Current Market Prices )

1. Dar es salaam =29.029

2. Mwanza =12.214

3. Mbeya =9.504

4. Morogoro=8.148

5. Arusha=8.000

6. Tanga=7.920

7. Geita=7.710

8. Kilimanjaro=7.585

9. Ruvuma=6.393

10. Tabora=6.284

Credit :NBS,Tanzania in Figures 2022.
(Figures are in Tanzania Trilioni Shillings).

My Take
-Kama Mkoa wako haupo hapo basi ujue uko sehemu ya maskini.
-Tanga inaenda kuipita Arusha na Morogoro
-Mbeya mbioni kufikia transactions za Trilioni 10 Kwa mara ya kwanza.
Cc Kitombile laizerg Mikdde Quality Control Accumen Mo instanbul The Great Haya
Screenshot_20230803-143650.jpg
 

Attachments

  • 2022_Tanzania_in_Figure_English.pdf
    3.1 MB · Views: 25
Back
Top Bottom