Ijue kwa undani nchi ya Brunei ambako Raia hawalipi kodi ni kula bata tu

Okay, kwa hiyo huko hata madanguro hakuna. Basi hakuwafai baadhi ya watu wanaoenda kutalii
Huko hakuna night bussiness aisee na mwanamke amedidimizwa sana. Sheria za kipuuzi sana hata hapafai kwenda
 
Mkuu hao hawanywi beer, ila
Kugegedana ndio wanapenda sanaaaaaa ingawa usigegede mke wa mtu au kabla hujao
Mambo ya kupeana masharti katika kugegeda hata hayana maana. Huko hata kuchepuka inaonekana haiwezekani
 
hii ndiyo royal family
brunei5e.jpg
 
Wapo poa sana hawana mambo ya waarabu hao, na pia si waarabu. Watz wengi kila mwaka wanapata scholarship za kusoma huko. Wanatoa positive feedback juu ya mambo huko. Bado hata hivyo haijawa rasmi Jamhuri ya Kiislamu.
Uislamu umewasaidia sana.

Inchi hii inafanana na Oman kwa usafi na level ya free education.
 
Back
Top Bottom