Elections 2010 ii ngumi mkononi kura za maoni ccm inamaanisha nini mbeleni october?

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
kura za maoni kupata wagombea wa viti vya udiwani na ubunge kupitia tiketi ya ccm nchi nzima limegubikwa na matukio ya kustaajabisha ya uchawi, rushwa ya waziwazi ila kilichotia fora zaidi ni hali ya wapambe kutembezeana ubabe na ngumi mkononi waziwazi kana kwamba kila mgombea ndio mwenye haki ya kipekee kupata tiketi iyo, kuna baadhi ya maeneo kwa mda mfupi yaligeuka kama mitaa ya gaza, ii sijui inatupa picha gani kwani wagombea inaonyesha wamejiandaa kupata ushindi kwa njia yoyote ile hata kwa vitendo vya uvunjifu wa amani, kama ivi tu ni kura za maoni sijui tutegemee nini october!
 
Back
Top Bottom