Igunga: Oparesheni 255 yavunja Rekodi ya Mahudhurio ya kote ilikopita

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,431
Hii ndio taarifa mpya kwa leo inayoletwa kwenu Wananchi wote na Dunia nzima, ni kwamba tangu kuanzishwa kwa Oparesheni hii ambayo ilianzia Kigoma, hakujawahi kutokea Umati mkubwa kama huu uliojitokeza Jimbo la Igunga. Hii yaweza kuwa rekodi ya Kitaifa (ngoja tuone hadi mwisho itakuwaje).

Hakika Watanzania sasa ni dhahiri wanataka Mabadiliko, hii si kawaida Umati kama huu wa Igunga nadhani unafanana na Mapokezi ya Nelson Mandela alipozuru nchini Tanzania Kwenye early 90's.

IMG_7367.jpeg
IMG_7372.jpeg
IMG_7371.jpeg
IMG_7370.jpeg


Usiondoke JF.
 
Hii ndio Taarifa mpya kwa leo inayoletwa kwenu Wananchi wote na Dunia nzima , ni kwamba Tangu kuanzishwa kwa Oparesheni hii , ambayo ilianzia Kigoma, hakujawahi kutokea Umati mkubwa kama huu uliojitokeza Jimbo la Igunga, hii yaweza kuwa rekodi ya Kitaifa (ngoja tuone hadi mwisho itakuwaje).

Hakika Watanzania sasa ni dhahiri wanataka Mabadiliko , hii si kawaida Umati kama huu wa Igunga nadhani unafanana na Mapokezi ya Nelson Mandela alipozuru nchini Tanzania Kwenye early 90's

Usiondoke JF
Acha vituko vyako!!
 
Back
Top Bottom