Higash
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 839
- 149
Ni ndoto za mchana , na kesho kutwa hutaonekana humu ndani ! CDM si chama cha siasa ni WANAHARAKATI wa siasa
porverty of thought
Ni ndoto za mchana , na kesho kutwa hutaonekana humu ndani ! CDM si chama cha siasa ni WANAHARAKATI wa siasa
hivi bado upo humu wewe!? pole sana naskia uliponea chupuchupu kwenye meli ya spice islander!Wishful Thinking.
CDM ushindi unanukia Igunga, CCM sasa mbinu zao zote za kuchakachua matokeo zimeshajulikana, na wakijaribu mbinu yoyote ile tutawaCTV.
Peeeeopleeeeeees.............