tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
Pole na majukumu IGP Sirro najua uko busy sana na majukumu ya kujenga Taifa.
Watanzania wengi Ni wahanga wa kupotelewa na Mali aidha kwa kuibiwa au kupotea tu.
Ili kupata Mali iliyopotea Kama vitambulisho au line za simu ni lazima upate Loss Report kutoka vituo vya Polisi.
Ukifika Polisi zaidi ya saa Saba mchana huwezi kupata hiyo Loss Report hivyo huwezi kupata huduma kwenye ofisi inayohusika na Mali yako iliyopotea Kama makampuni ya simu.
Nakua Loss Report inalipiwa tsh 500 kwa wahasibu hapo Polisi je hakuna namna ya kuwa na zamu za kwa hao wahasibu ili atleast Loss Report iweze kutolewa ndani ya hata saa 12 za mchana?