IGP Mwema anasubiri nini kung'atuka?

Huyo IGP kashindwa kulinda mali zake, kulinda wananchi wake ndio ataweza? Ndio maaana kila siku nchi yetu haiishi matukio ya ujambazi, inawezekana na yeye ni mmoja wapo maana haingii akilini!!!!!!
 
Jeshi sio chama cha siasa, ambapo mtu anapata cheo kwa kupigiwa kura, linaongozwa kwa kufuata taratibu zake ambazo kamwe hutazijua na lina utaratibu wake wa kushughulikia mambo yake ya ndani na si lazima linaposhughulikia mambo yake umma Including you upate taarifa. Tumia mitandao kwa manufaa kwa taifa na jamii yako.
 
WanaJF,

Kuibiwa kwa upanga wa dhahabu aliokuwa amekabidhiwa IGP Mwema kuashiria uongozi wake wa muda,ambao ni mali ya shirikisho la wakuu wa majeshi ya polisi wa nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO),kumelifedhehesha na kuliaibisha Taifa!

Kutokana na uzembe uliosababisha kuibiwa kwa upanga huo wenye thamani kubwa inayokadiriwa kufikia shilingi milioni 600 za kitanzania,IGP Mwema hana budi kuwajibika kwa kung'atuka madarakani bila shuruti yoyote!

Yeye kama kamanda mkuu anastahili kuoyesha mfano katika kukabiliana na adui ambaye ni uzembe,rushwa na wizi uliokithiri katika jeshi la polisi nchini na kuwapa changamoto wanaobaki nyuma yake kwani cheo ni dhamana!

Swali
:Ni nani anayeweza kuingia ofisini kwa IGP Mwema akaiba Laptop yenye mambo nyeti au upanga wa dhahabu unaotakiwa kulindwa masaa 24 na kutoka bila kukamatwa?
Jeshi sio siasa lina taratibu zake, tuache porojo hazisaidii.
 
Mimi ningeshangaa sana kama usingeibiwa ikiwa gari likikamatwa na kukaa polisi siku moja utakuta wameiba vifaa vyote vinavyoweza kuchukulika sembuse upanga tena wa dhahabu. Polisi yetu ni majanga watanzania tunalindwa na mwenyezi Mungu tu.
 
WanaJF,

Kuibiwa kwa upanga wa dhahabu aliokuwa amekabidhiwa IGP Mwema kuashiria uongozi wake wa muda,ambao ni mali ya shirikisho la wakuu wa majeshi ya polisi wa nchi za kusini mwa Afrika (SARPCCO),kumelifedhehesha na kuliaibisha Taifa!

Kutokana na uzembe uliosababisha kuibiwa kwa upanga huo wenye thamani kubwa inayokadiriwa kufikia shilingi milioni 600 za kitanzania,IGP Mwema hana budi kuwajibika kwa kung'atuka madarakani bila shuruti yoyote!

Yeye kama kamanda mkuu anastahili kuoyesha mfano katika kukabiliana na adui ambaye ni uzembe,rushwa na wizi uliokithiri katika jeshi la polisi nchini na kuwapa changamoto wanaobaki nyuma yake kwani cheo ni dhamana!

Swali
:Ni nani anayeweza kuingia ofisini kwa IGP Mwema akaiba Laptop yenye mambo nyeti au upanga wa dhahabu unaotakiwa kulindwa masaa 24 na kutoka bila kukamatwa?

Angalia majambazi wanavyo vaa sare za jeshi la poli na kupora mali za watu baada ya kuwaua upamnga huu hauja ibiwa ila ameuhamisha na kuupeleka anako jua yeye uliona wapi mali za polisi zinaibiwa?
 
Shida hii kumwacha mtu mmoja akateua viongozi wa umma wakikosea ni kama mali yake binafsi mpaka apende yeye ...sasa humu tunaweza kuletewa wanae,mashemeji,mawifi,wajomba,wengine wanaweza wakawa hata wezi ama wehu n.k, na kwa hili mtasema sana ila aliyemteua kama hajapenda itakuwa kazi bure.
 
Nasikia muda wake wa kuondoka ni mwezi wa kumi na mbili,kwakuwa tumezoea kubebana wameamua asubiri muda wake ufike,ili aondoke kwa heshima!

Aondoke kwa heshima gani? Huyu ni mwizi anayestahili hukumu kama wanazopewa wezi wengine! Wanaombeba nao ni wezi wenzake ndiyo maana hawajasema kitu mpaka sasa! Hii ni aibu kubwa sana kwa Taifa!
 
Jeshi sio siasa lina taratibu zake, tuache porojo hazisaidii.

Kwa hiyo unataka kusema taarifa zilizotolewa kuwa upanga umeibiwa ni porojo eeeh? Kuibiwa kwa upanga huo kunashabihiana vipi na siasa unazozisema?

Vyombo vyote vya usalama hapa nchini visingejihusisha na siasa na kuzingatia kile kinachotakiwa vyombo hivyo vifanye, kusingekuwa na uzembe,wizi,ubadilifu,ufisadi,rushwa na mambo mengine mengi yasiyo na manufaa kwa Taifa! Wakuu wa vyombo vya usalama wanateuliwa na kiongozi mkuu serikalini ambaye ni mwanasiasa hivyo huwezi kusema Jeshi siyo siasa!
 
Jeshi sio siasa lina taratibu zake, tuache porojo hazisaidii.

Kwa hiyo unataka kusema taarifa zilizotolewa kuwa upanga umeibiwa ni porojo eeeh? Kuibiwa kwa upanga huo kunashabihiana vipi na siasa unazozisema?

Vyombo vyote vya usalama hapa nchini visingejihusisha na siasa na kuzingatia kile kinachotakiwa vyombo hivyo vifanye, kusingekuwa na uzembe,wizi,ubadilifu,ufisadi,rushwa na mambo mengine mengi yasiyo na manufaa kwa Taifa! Wakuu wa vyombo vya usalama wanateuliwa na kiongozi mkuu serikalini ambaye ni mwanasiasa hivyo huwezi kusema Jeshi siyo siasa!
 
Jeshi sio chama cha siasa, ambapo mtu anapata cheo kwa kupigiwa kura, linaongozwa kwa kufuata taratibu zake ambazo kamwe hutazijua na lina utaratibu wake wa kushughulikia mambo yake ya ndani na si lazima linaposhughulikia mambo yake umma Including you upate taarifa. Tumia mitandao kwa manufaa kwa taifa na jamii yako.

Huna makosa! Kama umekulia kwenye kota za polisi ni lazima utatetea uzembe na wizi huu wa upanga! Kama kweli jeshi lisingekuwa chama cha siasa na kutimiza wajibu wake wa kulinda watu na mali zao lisingekuwa linawauwa wanapokuwa kwenye mikutano ya kisiasa! Kifo cha Mwangosi kinasikitisha sana! Aliyeamuru auawe amepandishwa cheo,aliyetii amri na kuuwa anasota mahabusu akisubiri hukumu!

Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, nitaendelea kuutumia mtandao wa Jamii Forums kwa manufaa yako,yangu na watu wengine wasiyo na waliyo na mapenzi mema kwa Taifa! Ndiyo, nipatapo nafasi ya kuwakosoa na kuwaelimisha watu kama wewe msiyo na mapenzi mema kwa Taifa nitafanya hivyo!
 
Angalia majambazi wanavyo vaa sare za jeshi la poli na kupora mali za watu baada ya kuwaua upamnga huu hauja ibiwa ila ameuhamisha na kuupeleka anako jua yeye uliona wapi mali za polisi zinaibiwa?

Inashangaza sana! Police Line kwenyewe wezi au vibaka hawagusi! Kama kumetokea wizi watamtafuta mwizi huyo mpaka watampata! Na mara nyingi huibiana wenyewe kwa wenyewe! Hivyo ni dhahiri kabisa mwizi wa upanga wa dhahabu anafahamika!
 
:kev:
Unauliza makofi policcm? mbona wanaomba rushwa hadharani? bila aibu utadhani wanadai pensheni unataka utolewe meno. macho, nk
 
mwiziiii, mwiziiii,mwiziiii , mwiziiii,,,,,,,,,,,,,,,waiziiii haooooooo!!!!!!!!! ukoo wa panya uo! Usishangae, ila ipo siku hata km sio leo, wala kesho,ila bas kesho kutwa. Km askar wenyew wanashikiliwa kw tuhuma za wizi especially from oustabay station, ni upanga wenye thaman ivo watashindwa kuondoka nao? Na km sio vijana wake, bas ni yy mwenyew! Awajibike kw kung'atuka.
 
Kuna msemo fulani umekuwa maarufu"upepo wa kisiasa tu"unasema bro side ajiuzulu wkt ye bafuni anaimba "huu ni upepo wa kisiasaa tu*3"
 
Huyu kama mtamlazimisha kulipa hili panga la dhahabu mtakuwa mnafanya kosa anajua siri nyingi za serikali anaweza kukimbilia Rwanda sana haya..mtafanyaje sasa ehe
 
Msihangaike wakuu huo upanga umeshauzwa kwa wazungu wanaomiliki migodi yetu ya dhahabu tena nahic na wakuu wengine wanahucka
 
Uyu IGP yy ni muucka wa kwanza, ndiye mwiz wa uwo upanga na c m2 mwingine
Atuambie vizur wapi alipo kwenda kuuza,M2 awezi kutoka mbagala aje kuiba office yenye ulinzi mkali wa jesh actutanie kabisa ss watanzania
Ictoshe kwa wizi wake inafikia steji ya kutuzalilisha ktk nch yetu afai kabisa
 
Back
Top Bottom