Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
Safi sana, tukienda hivi tutafika mbali sana aiseeeMkuu kwenye majeshi hakuna mihemko kule..unakumbuka Waziri Kitwanga alipoliagiza jeshi kufanya operesheni ya kusafisha majambazi kwa kuvamia mapori ya Mbagala..Siku iliyofuata Kamati ya Ulinzi na Usalama ikamuambia hakunaga amri kama hizo kwenye mambo kama hayo kuna taratibu zake..Lile agizo lilifia palepale. Kwenye Majeshi huwezi kupanda cheo bila ya kurudi kozi na kuburuzwa upya..