Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Kweli mbuzi yake kamba,ngoja tusubiri nn kitaendelea.
Hapa ndipo nashangaa siasa zinapoingia hadi kwenye sheria!!,mbona Kibaki aliyeng'ang'ania urais mpaka mauaji yakatokea bado anapeta!!!!??kwangu mimi naona Kibaki ndiyo anatakiwa kuwa mshitakiwa wa kwanza.
unapotengeneza mashtaka lazima ujue jinsi ya kupata ushahidi inawezekana icc bado haijapata dalili za kibaki kuhusika na mauaji na huenda uchunguzi wa awali umeonyesha kenyatta na akina william Ruto walikuwa na njama za kufanya hivyo
and i dont understand how these guys are excluded. hawa ndio vinara kwa maono yangu.
Haswa waandishi wa habari wa dizaini ya Malaria Sugu aka MS. Hivi karibuni huyu jamaa amekuwa akitamba eti naye ni mwandishi wa habari!Tumeona ya jirani zetu Kenya, sasa tuone mwisho wake utakuwaje, lakini pia wananchi wa kawaida tujifunze kitu hapo. Pia tahadhari kwa waandishi wa habari wawe waangalifu sana wanaposhabikia upande wowote wakati wa machafuko maana wao ni rahisi sana kuwafikishia wananchi taarifa
Updates:
Uhuru Kenyatta is to address the media at Serena on ICC verdict!
Naona Waziri Mutula Kilonzo tayari ameshaanza kuwahimiza wafanye hivyo!This guys need to resign. Thats all I wanna hear...as Minister for Finance and Deputy Prime Minister.
Lakini utasikia akisema anangojea direction from the President...ohh how I pray.....:A S-coffee:
Watii katiba mpya na iwe ndo kama mwanzo mpya wa maswala kama haya.
Tusubiri.
Naona Waziri Mutula Kilonzo tayari ameshaanza kuwahimiza wafanye hivyo!
Naona Waziri Mutula Kilonzo tayari ameshaanza kuwahimiza wafanye hivyo!
Nimependa huo msisitizo,hapa kwetu tungesubiri kamati teule sijui tume ifanye uchunguzi na kumshauri rais....lol