I seek for work/ natafuta kazi (it)

gyft

Member
Apr 21, 2012
41
3
I seek for job/work in Computing & Information Technology
I have professional skills in:
Network Installation Repair and Maintenance
Computers Repair and Maintenance
Graphics Design
Web Design
Database
0718888656 or 0752507004
giftkiwelu@yahoo.com
 
IT walitangazwa u2mish hauku aply? Ngoja wenye makampun waje wataku employ.
 
Kwa lugha tu naona itakuwa ngumu kwa wewe kupata kazi nimeshakusaili hapa hapa:teeth:
 
Kijana English yako ni dhaifu. Ni bora ukajiendeleza kwa kozi ya English kwanza.
 
I seek for job/work in Computing & Information Technology
I have professional skills in:
Network Installation Repair and Maintenance
Computers Repair and Maintenance
Graphics Design
Web Design
Database
0718888656 or 0752507004
giftkiwelu@yahoo.com

Ndugu ushauri wangu wa bure kwako ni kwanza kabisa unahitaju kuinua kiwango chako cha kiingilishi.
Kwa lugha ulioandika hapa inaonyesha kuwa english yako sio nzuri, na kama unavyosikia kila siku, makampuni
hayatuajiri sisi watanzania kwa sababu english ni zero.

Pili angalia utumizi wa neno professional skills, nadhani ni vizuri ukitumia technical skills.
 
please go back to school atleast for six month na ukasome kingeredha tupu.
 
please go back to school atleast for six month na ukasome kingeredha tupu.

mbona english yake iko poa? Tatizo nini hapo? We unajua kingereza? By da way nilipewa swali na mdogo wangu wa grade two nikashindwa naomba unisaidie kutafsir methali hii kwa kingereza"njaa mwana malevya, shibe mwana malegeza"..asante!
 
Ndugu ushauri wangu wa bure kwako ni kwanza kabisa unahitaju kuinua kiwango chako cha kiingilishi.
Kwa lugha ulioandika hapa inaonyesha kuwa english yako sio nzuri, na kama unavyosikia kila siku, makampuni
hayatuajiri sisi watanzania kwa sababu english ni zero.

Pili angalia utumizi wa neno professional skills, nadhani ni vizuri ukitumia technical skills.

is proffesional skills not an alias of technical skills? To some extent?
 
dah watanzania kwa kucriticize nomaa nani kawaambia ameomba kazi ya ukalimani....wakija maengineer wa kichina na lugha zao mnawatafutia hadi wakalimani...computer ni practical siyo lugha
 
Kwani wale wachina mnaowapa tenda za ujenzi wanajua kiingereza? Acheni ukoloni mamboleo.

Kama unahitaji kusaidia toa msaada ashindwe mwenyewe na lugha yake, wewe usiwe kikwazo. Kiswahili ndiyo lugha yetu bana.
 
ila kweli wale wachina mliowajaza wanajua kingerezaa? Acheni roho mbaya ..ila wabongo wezi ukimwajiri tu anakuibia.
 
Safi sana kwa comment zenyuuuuuuuuuu bhana so what do i need to do
 
hi Gift,Inaonekana umesoma mambo ya IT,ila ni katika level ipi?Diploma ,advanced diploma,degree au certificate?Kuna baadhi ya kampuni wako strict so give more details.kama sijakosea hatuna kitu kinaitwa professional skills,ulizo taja hapo chini nyingi ziko katk technical skills.Web design using nini?(html,xhtml,css,javascript,dhtml)database(sql,msql,oracle?).Sema what you have and what you can you deliver.
 
Hapo chacha.........
 
wakuu,
siko hapa kwa ajili ya kuponda, la hasha!.
ila ushauri mdogo ni kwamba mtu mwenye certificate ya IT atafanya kazi gani?, tangu nianza kufuatilia matangazo ya kazi sijakuta wanahitaji mtu mwenye cheti cha IT.
MY TAKE:
mwenye cheti komaa kaka/dada ujiendeleze ufike japo diploma, hapa utaweza kupata kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom