Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
wadau nauza I Pad two 32 gb ina kila kitu na wiki 3 nimetumia bei 1m
]Nipe hiyo sita na nusu nikupe yangu mpya 60 gb[/COLOR] kama ukitaka ni pm sio matani na kama pia unahitaji laptop na home theatye. Ni ambie laptop za samsung memory 2gb ram 2gb, hdd 320gb. Sio utani, namaanisha, jumla na reja reja zote ninazo, ndo nimetoka kutoa melini juzi mombasa porti.
Mkuu Janja PORI, si unajua biashara ni negotiation? Natambua kuwa dau langu lipo chini ila kwasababu ni maelewano huwezi jua tutafikia wapi. Ndo raha ya soko huria.kingmairo haahahahah hutaakaaa upate I pad kwa bei hiyo I pad si simu kaka