I need someone to talk

Preta mpendwa pole kwa hayo yataisha tu.. I'm here to make you feel good! Nipo hapa Yaeda nakutafutia ile kitu uipendayo soon will be there?
 
Wapenzi leo nzima nilikuwa na siku nzuri sana yenye furaha tele, lakini ilipofika mida ya saa kumi jioni siku imeharibika kabisa, nimekosa raha na najisikia vibaya sana, ikizingatiwa mimi ni mtu wa kuwa na raha wakati wote na huwa siruhusu kabisa moyo wangu kuvunjika, lakini leo hali ni mbaya. Asante sana kwa wewe rafiki uliyenipigia simu kutoka mbali, in such a way umenifariji kwa kiasi fulani.
Wapendwa am feeling bad.

ooops...pole sweetie nini mbaya? njoo yaeda tusherekee
 
Preta mpendwa pole kwa hayo yataisha tu.. I'm here to make you feel good! Nipo hapa Yaeda nakutafutia ile kitu uipendayo soon will be there?

ooops...pole sweetie nini mbaya? njoo yaeda tusherekee

thanks sweethearts......wacha nije tupate ile kitu roho itasuuzika coz ilichafuka sana lakini kwa sasa niko poa
 
thanks sweethearts......wacha nije tupate ile kitu roho itasuuzika coz ilichafuka sana lakini kwa sasa niko poa
Ewaa good girl haya njoo huku tumalizie kusuuza roho yako. Mimi penda wewe kua na raha bana,!
 
Ewaa good girl haya njoo huku tumalizie kusuuza roho yako. Mimi penda wewe kua na raha bana,!

halafu wewe.....hizi siku nyingi...?....ngoja kwanza nione hii maneno
 
Preta; whatever it is you are going through I believe you are strong enough to pass through it,
you just need to be sure of yourself and some extra courage which you shall find in prayers,
We got love for you......I got love for you!
and if at some extent you might feel that you need some extra strength....you can always lean on
either one of our shoulders....or even two/three/four....if you like!
Stay well. You are stronger than that - whatever it is dont let it overpower you. xoxoxoxo

Preta hope the above message charmed you!!..

Naomba nikuache na Psalms 34:18 as quoted from NIV ' The LORD is close to the brokenhearted and saves those who are crushed in spirit.'

Take it easy and kesho ni siku nyingine!!
 
preta hope the above message charmed you!!..

Naomba nikuache na psalms 34:18 as quoted from niv ' the lord is close to the brokenhearted and saves those who are crushed in spirit.'

take it easy and kesho ni siku nyingine!!
bj easter nakuja venice prepare for me some pasta and pizza
 
Preta hope the above message charmed you!!..

Naomba nikuache na Psalms 34:18 as quoted from NIV ' The LORD is close to the brokenhearted and saves those who are crushed in spirit.'

Take it easy and kesho ni siku nyingine!!

asante my dear Belinda....niko na bible yangu hapa na nimefarijika sana kwa mstari huo....ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom