I,m looking wife, especially from uchagani,ikiwa machame ni nzr zaid

Jestina..kwani wewe ni wa machame?...huyu jamaa ameshajipanga...ngombe wa maziwa nadhan amenunua..kabati la...na ile toyota....hahaha...joking banaa...

basi kuna wanazi watakaokuja na wamachame this and that blah blah,mshindwe.
 
Very intersting. Kijana unasema akiwa mmachame itakuwa nzuri zaidi. Unayo Tembocardmastercard?
<br />
<br />
KALABASHI mwenge,, ,kwanza nimependa iyo,, mdau Tembocardmastercard-mhh iyo sina Ila GX 100 ya ukweli.
 
Jamani niko seriuose,i want to intr ma cv kabla ya yote,kishule nimeishia form four, ila ni mwajiriwa srkln, ma age is 30 yrs,ninayemtaka asivuke 28,elimu form four na kuendelea, na awe na mawazo ya maendeleo,ila na awe tayari kup endwa, nawasilisha wakuu.
<br />
<br />
Nsawasawa siishi kimashami lakinile nsawasawa tu
 
Kila la heri baba... Nasikia wanaua waume zao lakini...
 
ukakuta...... jamaa ndo ivo tena kamwaga kuku kwenye mchele mwing cjui nana atakula mwenzake kuku au mchele.
wish u al da best broo.
 
Back
Top Bottom