I love you...

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,579
5,379
Dedicated to My husband, and to people in love today...

Author: KRISTEN M SACCARDI

As I look into the future as far as I can see,
I can see nothing except you being with me.
You are in all of my dreams whether I'm awake or asleep,
My love for you is not going anywhere Because it's way to deep.

There is nothing I can do to make it go away,
I'm in love with you James and my love is here to stay.
The feelings I have, I have never felt before,
I don't want anybody else and I know this for sure.

If I can't have you I would rather die alone,
The happiest day of my life was when I called you on the phone.
No one could ever make me feel the way I do with you,
The love I feel with you is something totally new.

I want you to come back into my wind,
Not as a friend but as my husband.
I want to be your lover and your best friend,
I want to grow old with you until the very end.

I dream in the future you'll call and say I am the one,
That you have decided that we are not yet done.
I pray that someday my dreams will come true,
I have This dream everyday because I'm in Love with you

PS: the name is from the original poem which you can find here
 
Hebu weka na kiswahili chake, inaonekana ni kamwimbo kazuri ila sasa wengine hatujui kilugha cha wazungu!
Nikiweka kwa kiswahili shairi litapotea. Ila kwa kifupi inahusu mwanamke ambae anakiri penzi lake kwa mwanaume.
kipengele cha kwanza anamwambia vile mchana na usiku, akilala akiamka mawazo yake yote yamevamiwa na huyo mwanaume.
Kipengele cha pili anaendelea kusema kwamba hajawahi kupenda namna anavo mpenda, na anajua ataendelea kumpenda hivo milele.
Kipengele cha tatu kinahusu anavo jiskia anapo wasiliana na mwanaume huyo, hasa walivoongea kwenye sim jana yake :)A S wink: ),
alafu kipengele cha nne anamwambia anamtaka maishani mwake, sio kama rafiki tu, anamtaka kama mume.
Anamalizia kwa kusema kua ndoto yake ni kwamba mwanaume huyo atampigia tena sim na kumwambia kua yeye ndie "the one"...
 
Ooooh Merci sana kwa kuweka kiswahili chake.

Mtu ukipendwa raha jamani! Du!.........
 
There is nothing I can do to make it go away,
I'm in love with you James and my love is here to stay.
The feelings I have, I have never felt before,
I don't want anybody else and I know this for sure.

Jina lake ni James au ndo umesahau kubadilisha wakati ukipaste?
 
RR, Mashairi yako yamejaa ughani mtupu! ungeweka kwa kiswahili hata ukikatakata maneno ingeleta burudani zaidi!
 
As much as I love the name James I have to confess kwamba nilikuta hivo hivo na siwezi kumfanyia bi Kristen editing bila ruhusa yake, basi nika copy-past hivo hivo, na nikaweka link yake. Muhimu message...
 
RR, Mashairi yako yamejaa ughani mtupu! ungeweka kwa kiswahili hata ukikatakata maneno ingeleta burudani zaidi!

Nikiweka kwa kiswahili shairi litapotea. Ila kwa kifupi inahusu mwanamke ambae anakiri penzi lake kwa mwanaume.
kipengele cha kwanza anamwambia vile mchana na usiku, akilala akiamka mawazo yake yote yamevamiwa na huyo mwanaume.
Kipengele cha pili anaendelea kusema kwamba hajawahi kupenda namna anavo mpenda, na anajua ataendelea kumpenda hivo milele.
Kipengele cha tatu kinahusu anavo jiskia anapo wasiliana na mwanaume huyo, hasa walivoongea kwenye sim jana yake :)A S wink: ),
alafu kipengele cha nne anamwambia anamtaka maishani mwake, sio kama rafiki tu, anamtaka kama mume.
Anamalizia kwa kusema kua ndoto yake ni kwamba mwanaume huyo atampigia tena sim na kumwambia kua yeye ndie "the one"...
Ndio maana nimetafsiri kwa kifupi
 
Haya mapenzi ya vitabuni bana!....ni mazuri sana kwa habari ya kusoma!

Roulette, nahisi shemegi yetu anaishi mbali na wewe!

Mhhh!....Some aroma of Distance Loving here!
Am I right?
 
Unfortunately yes... kwa muda tu lakini (Inshallah)
 
Utabadili jina la James au na wewe utaacha hivyo hivyo tu? Angalia usisahau ukamtumia mtu ukaambulia ugomvi
Wanaume wengine waelewa bwana, si atampeleka website amuoneshe kua ilitungwa hivo? Au anataka kusema katunga yeye?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom