Nilijaribu kumuuliza palepale maana aliongea kwa sauti ya chini alafu kama ananung'unika vile lakini hakunijibu chochote.... ni case ambazo zilikua zinajirudia rudia mpaka nilipompata my wife wangu.
Kama heading inavyosema kwa mimi binafsi huwa ilikua wanawake wananiambia wamefall siku ya kwanza ambayo tulifanya sex.... na maneno yalitoka bila kujijua katikati au baada tu ya sex .....na nikimuuliza anasemaje ili arudie alichosema alikaa kimya. Nilihisi labda waliona aibu maana kikawaida huwezi fall ndani ya week or two..na mimi nilikua namalizaga within a week ikizidi hapo napiga chini.
Maneno niliyokutanaga nayo ni kama..
I THINK I AM IN LOVE WITH U....
I AM IN LOVE WITH YOU NO MATTER WHAT...
I WANT YOU IN MY LIFE.....
Sasa najiuliza hivi mwanamke hawezi fall in love na mwanaume kabla ya kusex? Je sex ndio ina determine kama unampenda mwanaume.au mwanamke.