I liken Lissu to Trump for uncontrollable behavior

Hiyo heading iko sawa kabisa.
Jamaa ametumia lugha ngumu kidogo. 'Liken' ni sawa na 'compare' au kwa kiswahili kufananisha/kulinganisha.
Ni kweli!
Kumbe hata hapa JF ni tatizo. Tatizo ni uzembe wa watu kutotaka kujifunza. Hata wanapoona neno wasilolijua, hawana akili hata ya kutumia google.com! Wako mtandaoni na kuna kamusi ndani ya mtandao. Kwa mtindo huu, ufahamu unaendelea kushuka chini kila siku.
 
Those who watched the US presidential debate, just the other night, might have made a mental comparison of what Lissu applied for to be done just when he started his country tour; he requested a presidential debate with Magufuli. Then there has been no response from CCM. Actually, the top Magufuli-men belittled Lissu for such a debate.

Having seen how Lissu behaves and mixes with political jargon, I am afraid to say, he is unfit for any sensible debate. I liken him to less than Trump, correction. Of course like for trump, there are people who invite for such a debate because they are of the kind of I don’t care who he is, what he says as long as he pushes for my agenda. The only biggest problems are those agenda; they are on tribal, family economy, friendship, etc. Again, Lissu is unfit for sensible debate.
Hebu tuambie hapa ulitaka kusema nini " I liken him to less than Trump, correction. Of course like for trump, there are people who invite for such a debate because they are of the kind of I don’t care who he is, what he says as long as he pushes for my agenda"
 
Ni vijamaa vya form 6 vinahangaika kujifunza kujenga hoja kwa kiswahili. halafu kila siku malalamiko, eti ajira hakuna, ajira kwa ubora upi wakati hata juhudi ya kujisomea huna? Mtu hata hajui maana ya liken halafu hana juhudi ya kulitafuta mtandaoni wakati anajibu msg za JF! Bureee kabisa!!
Kwa hiyo watu wamekosa ajira kwakuwa hawajui kingereza? Mbona Meko anakiingereza kibovu kuliko PhD holders wote duniani na ni mgombea? Sasa mwambie meko awaambie vijana wanakosa ajira Kwa sababu ya incompetence uone kama hata kidoti atampa kura.
 
Lissu is an intellectual , he speak fluent English you can't liken with Mr Magufuli.
Mmmh! English hii jamani! Andika hivi, .... he speaks ........ baadaye sema ... you can't liken him to ... siyo 'with' weka na alama ya mkato (,) baada ya neno english.
Unaiona tofauti hapo?
 
Who seems to be mentally uncontrollable between Magufuli ana Lissu? You must be kidding! Au unamtupia Magufuli kijembe cha kiana?
Sentensi hiyo ili iwe na maana inabidi niisome kwa kuamini ni kiswahili chenye maneno ya kiingereza. Ukiisoma kwa kwamba ni kiingereza, haina maana iliyokusudiwa na alama ya kuuliza mwishoni.
Kwa kiswahili ulimaanisha ...Nani anaonekana kuwa ni .........
Nikiisoma kwa kiingereza na kuamini ni kiingereza ina maanisha .. Ambaye anaonekana kuwa .....

Hapo ndo kuna ugumu wa lugha ya malkia kwa wa-TZ wa aina yenu na hao waliokosoa eti kiingereza kimekosewa. Ndo maana munajikuta munatoa sifa Lissu anajua kiingereza wakati mimi mtaalamu naona anazungumza kiswahili kwa maneno ya kiingereza.
 
Those who watched the US presidential debate, just the other night, might have made a mental comparison of what Lissu applied for to be done just when he started his country tour; he requested a presidential debate with Magufuli. Then there has been no response from CCM. Actually, the top Magufuli-men belittled Lissu for such a debate.

Having seen how Lissu behaves and mixes with political jargon, I am afraid to say, he is unfit for any sensible debate. I liken him to less than Trump, correction. Of course like for trump, there are people who invite for such a debate because they are of the kind of I don’t care who he is, what he says as long as he pushes for my agenda. The only biggest problems are those agenda; they are on tribal, family economy, friendship, etc. Again, Lissu is unfit for sensible debate.
So what is your point?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
If that is so, what about your empty head useless candidate , who can't speak even two sentences in English .
Wewe umejitahidi kiasi lakini bado kuna makosa ya mpangilio wa maneno andika .....who can't even speak ........ neno even unataka litoe msisitizo wa verb na siyo noun!
 
Hebu tuambie hapa ulitaka kusema nini " I liken him to less than Trump, correction. Of course like for trump, there are people who invite for such a debate because they are of the kind of I don’t care who he is, what he says as long as he pushes for my agenda"
The language in the thread is perfect, but the thoughts in it are jumbled and fall short of any credits for discussion in here.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hiki ni kipindi cha kufanya marudio ya thrd za maana, ili wale waliokwenda chaka, waanze kujiuliza kama akili inawatosha.
 
Back
Top Bottom