i cant sleep, help please!

mzawahalisi

JF-Expert Member
Jan 11, 2010
752
237
hello any body out there who can share wt me coz i cant sleep at all n out of mood at all. Tmrow i hv 2 wkup very early than u can think, wht shlf i do? I hv less than 4 hrs to stay on the bed.
 
unawaza juu ya nini? mawazo ni sumu ya usingizi best. mshukuru Mungu then ulale, ondoa hofu na mashaka.
 
Wengi tunahesabu boriti leo, Labda tujaribu kuhesabu 100, 99, 98, 97 backwards uku tumefunga macho.
 
Hata mimi leo silali; ila si kwamba sina usingizi ila nina kazi ambayo lazima by saa tatu niwe nimetuma; hivyo lazima ni kill the night. But kesho mchana nafidia usingizi wangu. lol.
 
Wenye wake au waume zao wameshalala zamaniiii... Sisi makapera ndo tunahesabu kenchi...
 
hello any body out there who can share wt me coz i cant sleep at all n out of mood at all. Tmrow i hv 2 wkup very early than u can think, wht shlf i do? I hv less than 4 hrs to stay on the bed.

hujui usingizi ni zawadi ya kutoka kwa Muumba? Psalms 127:2........................."..................for so He gives his beloved sleep."

mwombe Mwenyezi Mungu hii karama lakini umwombapo ufanye hivyo kwa imani iliyokamilika...............................i.e by prayers and fasting..............
 
Naona tunatania lakini hii ni serious issue. Mimi pia na tatizo la kulala na ubaya wa kutumia dawa za kulala ni kwamba unaweza kuwa Tegemezi wa dawa za kulala ni kweli hizi dawa zina cheza na brain hivyo huwezi kuzitumia kila siku. Mimi nimegundua kunywa maziwa ya mota kabla sijalala inasaidia.
 
Sleep aids kibao siku hizi ni non-habit forming bana!
 
Naona tunatania lakini hii ni serious issue. Mimi pia na tatizo la kulala na ubaya wa kutumia dawa za kulala ni kwamba unaweza kuwa Tegemezi wa dawa za kulala ni kweli hizi dawa zina cheza na brain hivyo huwezi kuzitumia kila siku. Mimi nimegundua kunywa maziwa ya mota kabla sijalala inasaidia.

Tafuta chanzo kinachokuzuwia wewe kulala. Na ikiwa ni normal kwako kutokulala, basi usijilazimishe kulala kwa vile huna tatizo
 
Back
Top Bottom