I am missing my baby!

so leo tunafuturu nini sasa?lakini mchoyo wewe ata kusema karibu kuftulu au ndo mpaka ukishiba.

mmmmh mm c karibishi kobe bana!

hahahah....unacheza na feelings za watu speaker,
Ni bora kumdanganya mpenzi wako, kuliko kumwambia ukweli ambao utamuumiza!
Imagine ni wewe anakuambia ulipokuwa mbali kuna jamaa alikuwa anakusaidia!!!
Utamsamehe?

Yeah,ntamsamehe maana kanisamehe mengi sana!
Nakumbuka nilimuumiza sana nilipo mwambia "nimezaa na mdada mwingine"
alizimia.........

afadhali ww unelewa gharama ya msamaha. lakini jamani jitahidi basi kupunguza dhambi,mweeh! atachoka kukusamehe..
Yeah,ntamsamehe maana kanisamehe mengi sana!

Nakumbuka nilimuumiza sana nilipo mwambia "nimezaa na mdada mwingine"

alizimia.........

Similar Discussions

Back
Top Bottom