hv ni kweli xmas imeisha uxmass wake kwenye familia za wa2 maskni?

ELVIC NOVIC

Member
Oct 30, 2011
8
0
inavyosemekana ni kwamba xmass imepoteza jna lake, hii imetokana na zamani hadi poverty people walikuwa wako active wakiremba pamoja na kupamba ndani pamoja na kula ubwabwa, also watoto kuvaa nguo mpya ck hiyo:A S cry::bange::A S 12: lakni xmass imepoteza jna baada ya v2 kupanda bei na kusababisha xmass kuonekana ka k2 cha kawaida kwa maisha ya *chini
 
Back
Top Bottom