sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 645
Mambo ya mujini,ukijichanganya tu nao wanakuchanganya habari ndio hiyo.
jamani mtu wa chuo kikuu unarubuniwa na fatati ..hapana
angalia hapo penye colou na bold............. kwa anayejua maana ya kushawishi hawezi kuletaswali zaidi........... anyway, kwa kukusaidia.... sasa anaweza lakini haoni sababu kwa kuwa ni waziri........... alivokuwa chuoi aliweza na aliona sababu na "alichakachua" akafanikiwa kusoma............ ndiyo lugha iliyo nyuma ya maneno hayo na utaipata "ukitafsir"i, sio"ukisoma".............
Hawa ndio leaders wetu, alitoa tunda ili asomeshe. Kwahiyo hakurubuniwa ilikuwa ni makubaliano. Kweli tutafika na mawaziri design hiii
This woman talks nonsense..... this is not the way ya kuwaasa watu.
Hapa kwa kweli mimi napata mashaka na huyu waziri.
Hiyo tafsiri yako mkuu ya kulazimishia. Tunakubali kuwa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu huyo alokuwa nae hahesabiki kuwa ni 'fataki'. Alitaka mwenyewe 'kwa kiherehere chake' lakini hakuwa akiwaambia waendelee.
She isn't that stupid.
Hapo kwenye Bold, Tatizo lake Tafsiri ya FATAKI! A University student is a mature person, yeye aseme alikuwa na tamaa ya kwenda viwanja akapigwa mimba aache longolongo, na inaezekana hata sasa yuko mkao huohuoushuhuda mzuri coz unatoa picha halisi ya maisha yetu ,na yeye kama mtanzania mwanamke alipitia yanayofanywa na wengi vyuoni, sasa tatizo lake nini hapo hebu someni kwa makini mmpate ujumbe mi naona ni ushauri mzuri tu, au kwa sababu ni waziri, angeutoa mtu wa kawaida kwa lengo lilelile la kuisa jamii ungechukuliwa hivyo mlivyouchukulia, acheni hayo mambo wandugu
Hapo kwenye Bold, Tatizo lake Tafsiri ya FATAKI! A University student is a mature person, yeye aseme alikuwa na tamaa ya kwenda viwanja akapigwa mimba aache longolongo, na inaezekana hata sasa yuko mkao huohuo