Huyu PCK ni nani? Ana Bil. 57 benki, TRA wamezuia akaunti yake

Statement ni ya kuforge, hata charges hazimake sense.

  • Balance enquiry charge USD 30 (TZS 70,000 kuuliza salio)???
  • Kuna MPESA withdrawal ya USD 70,000 (TZS 166,000,000)???
  • Card Payment ya USD 100,000 (TZS 237,200,000)??? - Hakuna benki ya Tanzania yenye limit hizi hata kwa Credit cards za juu kabisa. Hata kwa nchi kama US ukiwa na AMEX Black Card huwezi kutumia hii amount bila prior authorization.

Tujifunze basics hata za kusoma statement. Hapo kama ni tapeli ataondoka na wengi maana wengi wanaamini kwamba ana pesa kutokana na miamala hiyo, halafu atafuata watu wamkopeshe wakiamini pesa zimezuiliwa kwa muda kisha atapotea.

KCB Bank wachunguze na watoe statement la sivyo watalia wengi
Wewe ni Great thinker JF, wabongo wengi hawachunguzi mambo kwa kina.
 
Jamaa ana bil 57 bank ila Kuna wale washamba million 100 tu utasikia kwetu matajiri..mara walishe mbwa burger mara hivi ushamba mzigo .

Watu wa Pwani haswa zanzibar Wana madili ya hatar wanapiga pesa ila hata kujionyesha ni ngumu sana ...wengi ni dili haramu kama kawaida wanauza mpaka unga ila ngumu sana kuwajua kama wana pesa.
Alafu wengi ni swala 5
 
Yani jamii forums kweli great thinkers ni wachache mno, naona watu wachache tu huko juu walibaini kuhoji kua hio statement iko edited, wengi wamechukuliwa kirahisi sana, mtu unaona kabisa transaction ya 1.2M USD kwenda mpesa kenya af unaamini amini kirahisi, jifunzeni wakuu.
 
Na ndo mana wabongo wengi wanatepeliwa kila siku kirahisi, yani kuwachukua ni rahisi mno.
 
Fake hiyo
 
Attachments

  • Screenshot_20230101-110933_Instagram.jpg
    Screenshot_20230101-110933_Instagram.jpg
    92.4 KB · Views: 4
Hashpuppi in making, ngoja abanwe kende atataja alipozikwapua hizo billion 57, bora angeenda kuziweka uswizi huko sio bongo hii lazima wambane, na mpaka wanamtia komeo inamaana wamemfuatilia vya kutosha kwa kipindi kirefu na mafaili yake wanayo bila yeye kujijua kua anafuatiliwa kimya kimya,

Wabongo akili viazi kweli unaiba na kutapeli alafu pesa unaenda kuziweka bank, chimba kisima futi 12 kwenda chini ndani zipack uko tia password ya maisha hakuna atakaejua wapi umeficha mabillion mpaka siku wezi wakuvamie, get rich or die trying Ila usifuche pesa za wizi na utapeli bank kila senti unayoiweka mamlaka inaziangalia kwa jicho la kuzichukua na kuzitaifisha kisha ikufungulie kesi ya kutakatisha fedha na uhujumu uchumi

Cc: Cyril Ramaphosa
 
Mkuu hicho kisima utachimba mwenywe? Hamna fundi hakuna utakaemshughulisha? Naona unachukulia kirahisi tu kwamba hamna atakaejua
 
Back
Top Bottom