Huyu ni nani? Abdulhakim Mulla - katika biashara ya Usafirishaji wanyama...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Kuna habari mbalimbali kuhusu huyu bwana hususan hata kuhusiana na wanyama waliotoroshwa na biashara ya wanyama kwa ujumla. Lakini sidhani kama ni miongoni mwa watu waliofikishwa mahakamani... Jina lake liliwahi kutajwa na CNN mwaka 2001 kuhusiana na uuzaji wa Tanzanite SOMA TRANSCRIPT HERE

Lakini pia anahusiana karibu na viongozi wengi tu wa serikali na wenye madaraka na ndani ya chama tawala. What do we know about him and his relations to major gem and wildlife resources...
 
anakitalu cha uwindaji longodo shareholder na zakhia meghji anaranchi king'ori , alikuwa mwanahisa tanzanite one akajitoa wakati flani baada ya kuhusishwa na mtandao wa bin laden anamiliki duka la vito vya thamani glita gems ofisi yake inatazamana na ya mwale , aliuziwa magari ya tawico wanatumia mpk sasa yakiwa na namba su na stg
 
mnetueleza pia ni mindi au mwarabu au mswahili?
kama mswahilli kabila gani?????alisoma wapi?
 
Ni wabulushi wa Iran by origin lakini wametokea Singida; Ndio wenye kampuni kubwa ya mawe inaitwa Glitter Gems; na pia walikua na usiaono wa karibu na Tanzanite One, Wana vitalu kadha vya Gemstones na vile vile wana thamini midogi kadhaa, wana Vitalu vingi vya kuwindia na vile vile ndio wamiliki wa sehemu ya kuhifadhia wanyama ambayo ikokaribu na KIA
 
Ni mfanya biashara maarufu na mtu mwenye fedha zake. Na licha ya kuuza madini na vitalu vya uwindaji ana biashara nyingi tu na ni Mtanzania mwenye asili ya kibulushi (baluch) kama ilivyo RA.

Ukoo wake upo Rujewa, Bukene, Arusha, Dar, Bagamoyo.

Aliyesema ni Mwarabu wa Singida huyo ni muongo hamjui Mulla.

Alihusishwa na Binladen kwa jina lake tu (Mulla) na utajiri wake.
 
mi najua anahusika na kufanikisha kusafirisha uranium kwa njia haram...ikitokea kongo kupitia hapa tanzanoa.......
 
Kuna kampuni ya ujenzi inaitwa Highland Estates. Who owns it? Je sio hao waliokuwa subcontractor wa Kajima wakajenga barabara ya Kilwa road ambayo sasa inavimba kwa sababu ya kuwekwa hamila badala ya lami? Just curious as we all know curiousity has its own reason to exist
 
Ana Ukaribu gani na Rostam Aziz au Chama cha Mapinduzi?

Mkuu, huyu jamaa ni rafiki wa karibu sana na RA pia nae ni mfadhili wa JK na CCM kwa ujumla jamaa wa madini wanamfahamu.
Mulla ni mwezeshaji wa mipango yote ya kifisafi TZ na nchi za uarabuni... ok kwenye hili sakata atakuwa ndio kinara ofcourse wizara ya fedha, madini na utalii ndio wanamfahamu uzuri huyu jamaa... nikiwa zanzibar niliwahi kuonyeshwa huyo chalii. yup mahakamani hawezi fikiswa mkuu
 
Huyu na RA lazima watakuwa wanajuana, ukiangalia mitandao yao ya wizi wa mali za nchi zinafanana fanana. Wote na wa Iran wezi wakubwa!
 
Back
Top Bottom