Huyu ndiye Mungu wa Israel!

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
252
254
Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji.

Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote waliteketezwa Kwa moto na kiberiti.

Ni Mungu ambaye hatamwesabia mtu mwovu kwamba hana hatua Bali mwenye kuwapatiliza kizazi Cha tatu Hadi Cha nne Cha waovu.

Katika ghadhabu Kuna rehema.

Tuombe rehema na toba Kwa kile walichofanya Hamas October 7 huenda akaghairi mabaya dhidi Yao.
 
Ghadhabu yake Haina huruma hata Kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kw maji...
Hata hitler alivyowaua waisrael pia alidhani yupo pamoja na mungu, mavita na tamaa zenu za kidunia msimhusishe mungu endeleeni na ushetani wenu ila kumbukeni kilaa nafsi itaonjaa umauti na huko ndio haki itatolewa
 
Katikati ya miungu yote hakuna kama Mungu wa Israeli. Atakaye mbariki atabarikiwa, na atakaye mlaani atalaniwa. Kwa kuitambua Siri hii Nchi ya marekani haitakuja kushuka kiuchumi,teknolojia na nguvu ya kijeshi.
Hizi bhangi huwa unavutia wapi! Hawa wayahudi feki wa kizungu sio uzao pure wa Abraham,isaka na yakobo pia teknolojia zote kubwa duniani zinatoka area 51 katika Jimbo la Nevada nchini marekani.

Hapo hakuna myahudi feki wa kizungu Wala binadamu yeyote anayehusika na uvumbuzi wa teknolojia hizo,hivyo jifunze kusoma nasio kukalilishwa uongo ambao unadumaza akili Yako.
 
Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji.

Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote waliteketezwa Kwa moto na kiberiti.

Ni Mungu ambaye hatamwesabia mtu mwovu kwamba hana hatua Bali mwenye kuwapatiliza kizazi Cha tatu Hadi Cha nne Cha waovu.

Katika ghadhabu Kuna rehema.

Tuombe rehema na toba Kwa kile walichofanya Hamas October 7 huenda akaghairi mabaya dhidi Yao.
Hadithi ya Nuhu hunithibitishia namna Mungu huyo alivyo hana maana.
 
Mungu mwenye upendo mkuu na rehema kuu ana ghadhabu anawalipizia vizazi na vizazi ambao hawakufanya kosa.

Unaona sawa hapo?
Sasa bro kama unakataa kumheshimu Mungu na kazi zake kwa nini usilipizwe mabaya wewe na kizazi chako kama nawao watafuata mlengo wako?
 
Mungu muweza wa yote, mwenye ujuzi wa yote na upendo wote angekuwepo, mabaya yasingeweza kuwepo.

Kuwezekana kuwepo kwa mabaya, pamoja na hiyo dhana ya kukataa kumheshimu Mungu, ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.

Hivi unaelewa kwamba tuna sheria za kutungwa na watu tu zinakataza kumhukumu mtoto kwa kosa la baba?

Sasa, inakuwaje sheria za kutungwa na watu ziwe na rehema kubwa kuliko sheria za Mungu?

Yani sheria za kutungwa na watu zitawezaje kuzipita haki sheria za Mungu?

Huoni hapo huyo Mungu ni kikaragosi katungwa na watu tu, tena katungwa enzi za ujinga?
 
Huoni hapo huyo Mungu ni kikaragosi katungwa na watu tu, tena katungwa enzi za ujinga

Mungu muweza wa yote, mwenye ujuzi wa yote na upendo wote angekuwepo, mabaya yasingeweza kuwepo.

Kuwezekana kuwepo kwa mabaya, pamoja na hiyo dhana ya kukataa kumheshimu Mungu, ni ushahidi kwamba huyo Mungu hayupo.

Hivi unaelewa kwamba tuna sheria za kutungwa na watu tu zinakataza kumhukumu mtoto kwa kosa la baba?

Sasa, inakuwaje sheria za kutungwa na watu ziwe na rehema kubwa kuliko sheria za Mungu?

Yani sheria za kutungwa na watu zitawezaje kuzipita haki sheria za Mungu?

Huoni hapo huyo Mungu ni kikaragosi katungwa na watu tu, tena katungwa enzi za ujinga?
Bro jitafakari sana juu ya kauli zako kwa Mwenyezi Mungu. Kumbuka mwanadamu ni zaidi ya mwili huu wa nyama uonekanao. Ipo nafsi, na Mungu karuhusu free will ya rohoni ili wewe mwanadamu uchague upande gani unakufaa.
 
Hiyo free will ya kuruhusiwa na Mungu ni uongo tu.

Unajua ulimwengu wa kuumbwa na Mungu mjuzi wa yote hauwezi kuwa na free will kwa kiumbe chake?

Yani Mungu kabla hajakuumba anajua utazaliwa wapi na utakufa wapi, na matendo yote utakayoyafanya hapo kati ya kuzaliwa na kufa kashayajua, mpaka sekunde zote utakazopiga chafya kashazijua, na wewe huwezi kubadilisha lolote hapo.

Sasa hapo free will kwako inakujaje?
 
Kuna jambo uliwahi kufanya kwa makosa na hivyo ikapelekea wewe kulijutia jambo hilo?
 
Katikati ya miungu yote hakuna kama Mungu wa Israeli. Atakaye mbariki atabarikiwa, na atakaye mlaani atalaniwa. Kwa kuitambua Siri hii Nchi ya marekani haitakuja kushuka kiuchumi,teknolojia na nguvu ya kijeshi.
Wajingq hawaishi duniani kuna kusoma na kuelimika wewe huna vyote, unajua hata farao ilifika wakati alijiona mungu , kulikuwa na roman empire etc nothing is permanent hapa duniani na muda ndio mwalimu mzuri hivyo vimiaka vyako arobaini ulivyoishi unaona umeshayajua hadi ya kesho? Punguza ujinga, marekani na magharibi wanalinda maslahi yao siyo huo ujinga unaowaza wewe, hata walivyomuua gadafi kwa kusingizia democracy walikuwa wanalinda maslahi yao , punguza ujinga
 
Kuna jambo uliwahi kufanya kwa makosa na hivyo ikapelekea wewe kulijutia jambo hilo?
Kwa nini hilo swali liwe na umuhimu? Kwani siwezi kufanya kosa nikalijutia katika ulimwengu ambao Mungu hayupo?

Unataka kusema kujutia kitu ndiyo ushahidi wa kuwapo Mungu?
 
Katikati ya miungu yote hakuna kama Mungu wa Israeli. Atakaye mbariki atabarikiwa, na atakaye mlaani atalaniwa. Kwa kuitambua Siri hii Nchi ya marekani haitakuja kushuka kiuchumi,teknolojia na nguvu ya kijeshi.
Mungu wa israeli alishindwa vipi kuzuia shambulio la October 7 kwa watu wake?
Kwanini atumie watu na asionyeshe ukuu wake?

Mungu mwenye nguvu zote za israeli mpaka sasa kashindwa kufahamu ni wapi watu wake waliotekwa walipo,

Ili ukubaliane na dini hizi si ukristo, uyahudi au uislamu inabidi akili isiwe sawa.
 
Back
Top Bottom