Huyu mwanasheria wa NEMC anastahili cheo zaidi

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Huyu kijana anasimamia sheria kama Rais alivyokuwa akizisimamia wakati wa bomoabomoa mpaka Jakaya Kikwete akamvuta shati.

Kwa kasi ya kijana huyu kuokoa vyanzo vyetu vya maji na mito ni wazi anakidhi kasi ya Mhe.Rais.

Rais John Magufuli mfikirie huyu kijana nimemfuatilia anaweza kufiti sehemu nyingi kwenye Serekali yako.

Kifupi tunaweza sema jamaa anapiga miguu yote.
 
CHEO hulevya, akae hapo hapo asijehadaiwa na cheo kikuubwa yakamkumba ya akina ma-fish
 
Ni huyu somebody Heche!!? Kijana anajitahdi sana

Anafanya kazi kwa taratibu.Hakurupuki kama makonda,Ukimwona sehemu ujue mwaka jana alishapita kutoa onyo.
 
Heche Suguto....... Kijana safi sana, anapiga kazi kuliko hata boss wake Dr. Baya, ambaye haijulikani hata anafanya kazi gani pale ofisini
 
Nimemfuatilia mda kidogo. Huyu jamaa ni mchapakazi hodari.
Hakika anastahili fanya kazi na Magufuli.
 
Mkuu isijekuwa wewe ndiye huyo jamaa unajipigia chepuo?


Hebu tuwekee hapa matukio yake yote utushawishi.
 
Back
Top Bottom