Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Hivi kuna tatizo gani kutumia mkono wa kushoto au wa kulia kwenye shughuli yoyote, iwapo mikono itakuwa misafi kabla na baada ya kutumika?
 
Vipi akikutana na Biden huwa anampa salam au kitu kwa mkono huo huo au?
Ikiwa wote wanatumia na wanafahamiana sidhani kaka italeta shida.

Maana sisi watu tunaotumia maleft sometimes hujisahau sana kuwa tunatumia mkono ambao sio sahihi kwenye jamii. So mtu mungine akiona hivyo atahisi umemdharau. +Nikijua mapema matumizi ya mkono wako ni upi wala haitakuwa na taflani ila isiwe ile ya @#}¢°×¢✓ NO!.
 
Hivi kuna tatizo gani kutumia mkono wa kushoto au wa kulia kwenye shughuli yoyote, iwapo mikono itakuwa misafi kabla na baada ya kutumika?
Hakuna tatizo, sehemu nyingi za vyakula nyama choma au za supu zilizochemshwa hushikwa na mkono wa kushoto wakati wa kumkatia mteja.
 
Mfalme yupo sahihi kabisa. Kwa kawaida mtu yeyote unapotoa kitu (cheti, kikombe, ngao, nk) inatarajiwa utumie mkono wa kushoto ili ule wa kulia utumike kushikana mikono kwa wakati mmoja.

Na kama angekuw hapokei/kukabidhi kitu hapo mkono mmoja (kulia) ndiyo unahusika.

Hapo picha isituzingue, ingekuwa picha mjongeo tungeona pia Balozi Kairuki akiachia mkono mmoja wa kulia kwenda kupena mkono na Mfalme Charles.
 

Attachments

  • 20240107_000902.jpg
    20240107_000902.jpg
    73.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom