Huyu mdudu anaitwaje?

Hatuelekei pasipo julikana Comrade, hapa tunamjadili mdudu ambae mleta uzi wa Dar amesema amemuua na kuna mwingine ni mkubwa sana hadi anaogopa kulala ndani leo...
Sasa mkuu, hao wadudu huku mikoani sisi wanatuuma kila siku na hatuleti thread humu, ujue hawa wanaume wa Dar ni wahovyo sana aiseeeee......
Kuna mmoja alionaga panya kaingia ndani kwake, eti akagoma kulala na mwisho akaleta uzi humu kwamba atamuuwaje huyo panya eti kwasababu anamuogopa....
 
Hao wadudu kuna jina wanaitwa "tandu" na inasemekana dawa yake ni kuwaua mara tu wanapokuuma.
 
Mwanzo kabla ya kuweka iyo picha nikajua utaweka picha ya kiumbe gani sijui cha ajabu,kumbe ni hako hutokei dar kweli wewe
Hawa wanaume wa Dar hata wakiona msururu wa siafu, huwa wanahama nyumba kabisaaaaaaaa.....
Wakati huku mikoani tandu, ng'e wakituuma huwa tuna pangusa na kuendelea na shunguli zetu kama kawaida
 
Centipede{tandutandu}ni mdudu hatari na ana sumu kama walivyo baadhi ya wadudu wengine.
491df83f5d41f42e01094f4231efc217.jpg


Kwahiyo tunaweza kumtumia kwa manufaa, tukatengeneza dawa ya ganzi kutokana na yeye
 
Ni tandu huyo, mi shambani kwangu nawaonaga wengi na mara nyingi nawaua.
Halafu nafikiri sio wepesi kuuma mtu.
 
Ni tandu huyo, mi shambani kwangu nawaonaga wengi na mara nyingi nawaua.
Halafu nafikiri sio wepesi kuuma mtu.
Put your hands together and clap for your self mkuu, umewazidi wanaume wa Daslam kwa ujarisi haki.... Maana bila hivyo nawewe ungekua ushaleta threads nyingi kama wao...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom