Huyu mbuzi vipi?

kansije

Member
Sep 16, 2010
50
10
Huyu mbuzi simuelewi hili pozi lake inaonekana asikilizia kitu fulani!! asije mlowesha mshikaji duuu

4321[1].jpg
 
Ni nchi gani hiyo ambayo haina wale polisi wanaovaa nguo nyeupe, maana mbuzi hana helmet. Au hapo ni shambani au picha ichakachuliwa maana hiyo........photoshop........
 
hiyo sio photoshop... hizo ni anga za ipinda mbeya huoni migomba hiyo mkuu,
 
wasee hiyo ni kisusio migomba ipo kule kwetu
lakini mmmm huyo sio mbusi mtu amekaa kwa adabu sana kwenye pikipiki
 
Teh teh teh!!!!!!!!umechemsha mkuu bora ungesema Tukuyu o ushirika Ipinda migomba ni michache sana pande zle kuna mchele,cocoa,mbosya na miembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom