Huyu kweli ni Kamanda?

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,055
185894_334590156629569_1741545217_n.jpg
 
Anacheza mchezo wa hovyo. Hivi ikitokea huyo aliyembeba akaamua kumbwaga na kunyakua bunduki hali itakuwaje? Hata hivyo kosa si lake ni la wale waliompitisha kuwa askari. Askari wetu ni dhaifu sana kiasi cha kutumiwa na wanasiasa wachafu kulinda uchafu wao. Pamoja na watanzania kuwa kondoo hata jeshi letu nalo ni mbuzi. Hawana maana. Wanatumiwa kufanya vitu vya kipumbavu sambamba na jeshi la polisi. Kwa mfano, utasikia wanajeshi wakipiga watu kwa kugombea mabibi na upuuzi wengine huku askari wetu wakiongoza kwa kuua watu kwenye idara zote za serikali. Ajabu wanaua wachovu na kuwagwaya mafisadi. Wamenyonywa hata buti hawana lakini hawalioni hili! Angalia kanda mbili alizovaa huyo mjeshi mchovu.
 
Hii Si Tanzania itakuwa ni congo ndio kuna askali wanatembea na silaha hovyo na wamevaa viatu visivyo vya kiusalama...ushaona wapi askali wa kibongo kabeba siraha na viatu kama hivyo.
 
inanikumbusha kigogo sambusa duh!!!!!!!!!1 ila mbele ya huyo soja naona kuna mgongo wa maana!!
 

Lowassa alisema kuwa tuko tayari kwa vita !! Vita vyenyewe ni ya kugombea mpaka kwenye ziwa Nyasa (kwenye maji).
Sasa kwa mwendo huu, nachelea kusema kuwa Malawi wameshashinda vita hata kabla vita yenyewe haijaanza!!
 
Back
Top Bottom