Huyu kijana hakuwaacha wazazi wake ambao ni vikongwe nyuma

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,280
Huyo kijana ni mkimbizi aliyekimbia kutoka Burma kwenda Bangladesh, hakuwaacha wazazi wake ambao walikuwa hawana uwezo wa kutembea, aliwabeba mabegani mwake kwa muda wa Siku 7 mpaka alipofika mahali salama.

Ulimwenguni ujue bado kuna watoto wenye UPENDO na wenye kuthamini wazazi wao. Mungalie kijana huyu USO wake na ukumbuke aliubeba mlango wa mbinguni kwenye mabega yake kwa siku saba.

Huu ni upendo mkubwa sana kwa wazazi.

A young Man from Burma who fled to Bangladesh, did not leave behind his parents who are unable to move,he carried them on his shoulders for 7 days until he reached his destination. Post it!Let the world know that there are still children with these moral values .

Look at this teenager and remember his face. He carried "the doors of heaven" on his shoulders for 7 days.

This is extreme love for his parents
1124205
 
Padre wetu alituambia tunaweza kushanga tukinao kuwakuta Wahindi, Bhuda, Waislamu mbinguni.

Ni sawa, watakuwa wamemkiri Yesu....it is the bible....labda kama Padre wenu hajui kusema, mimi sijaongea dini, nimeongelea principle....
 
Aliubebaje mlango wa Mbinguni kwa siku saba? Kama ajamkubali Yesu na kuokoka Jehanamu hakika inamgoja.
Hivi yule bwana pale pembeni msalabani alikiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yake? Lakini Yesu alimjibu hakika utakua nani leo latika ufalme...

Mkuu kuna kitu kinaitwa Muujiza, Muujiza maanyake nikuwa Mungu anavunja Protocal za kawaida ili kumsaidia mtu wake aliyetimiza mapenzi yake.

Ndio tunasema we are favored... Hatustaili lakini Yeye anatustailisha..
 
Tatizo Wasabato huwa wanasoma Biblia kwa vipande vipande!
 
Hivi yule bwana pale pembeni msalabani alikiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yake? Lakini Yesu alimjibu hakika utakua nani leo latika ufalme...

Mkuu kuna kitu kinaitwa Muujiza, Muujiza maanyake nikuwa Mungu anavunja Protocal za kawaida ili kumsaidia mtu wake aliyetimiza mapenzi yake.

Ndio tunasema we are favored... Hatustaili lakini Yeye anatustailisha..

Soma maandiko yangu vizuri utakuwa twaongea same thing, Elimu ya Tanzania Bwana? Una comment over 10 lines kabla hujaelewa mwenzako alichosema, hata akiwa dakika ya mwisho akimkubali Yesu anaenda Mbinguni, nilichosema ni kwamba kanuni inasema Yesu alifanywa dhambi kwa ajili yetu, twatakiwa kumkubali tu basi....
 
Ni sawa, watakuwa wamemkiri Yesu....it is the bible....labda kama Padre wenu hajui kusema, mimi sijaongea dini, nimeongelea principle....
Wewe umeongelea dini na si principal, naona unajimix tu,upendo ndio principal kwakuwa hauna dini,ukitaja messiah tayari unetaja dini,kukiri tu kwa kinywa hakukupeleki mbinguni,soma biblia vzuri,imani bila matendo ni imani mfu
 
Haya
 
Back
Top Bottom