Na Agyeman si kakwambia mawazo yake? Sasa tatizo liko wapi?Piga firimbi kama nimezidi. "This is where we dare to talk openly". Kila mtu ana mawazo yake na fikra zake.
anakaera kweli George Maratu.... mie nadhani ni bwabwa fulaniUmezidi, hupendezwi naye badili channel; hujalazimishwa kumsikiliza.
Lahaula lakwata MTM!!!!...lolanakaera kweli George Maratu.... mie nadhani ni bwabwa fulani
hasa anaposema "aaaiiiitiiiiiviiiiiiiiiii"
Mbona watangazaji na waigizaji wengi, hasa wa kike, wanapenda kuongelea puani kama vile ni wazungu? Hiyo ni professional identity. Kila mtu akisikia anajua huyo ni Marato. Bibie ana wivu wa ki..............Ni ulimbukeni tu hana jipya. Hivi akiwa anaongea na mkewe nyumbani au anatoa maagizo kwa mwanawe asubuhi anaongea hivyo?
Kuna tatizo kuiga jambo mbalo unavutiwa nalo? Wakati mwingine kuiga ni kujifunza.Hii sio style yake amemuiga mtangazaji mmoja wa Radio moja ya FM Kenya inatangaza kutokea maeneo ya Kisiii. Nimesahau jina la hiyo radio stesheni. Hio radio yule Mghaka wa vitimbwi anakuwa na kipindi kama kile cha Power Breakfast. Ukimsikia huyo mtangazaji utajua wapi Maratu aliiga hiyo sauti. Yeye ndo aliiga maana yeye alikuwa sio mtangazaji wa radio wala TV, wakati wa Kenya yupo Radioni toka 1980's
angekuwa sio maarufu hata ze comedy wasingemuiga, hiyo ni staili yake mbona humsemei Alfedi Masako?
kila mtu na namna yake eya utangazaji wapo wakongwe kama david wakati, kina mbotela, fredi machokaa nk wanakubalika na utabulisho wao ni namna wanavotangaza.
yale yale ya mwanao anataka kuwa muimbaji au msanii unamzuia kisa wadhani ni uhuni kumbe kila mtu kazaliwa na kipaji
MURAAAAAAA PIGA KAZI BABA WENYE WIVU WAKAJINYONGE.
Dada yangu FaizaFox, kumbe na wewe ni wa juzi juzi tuu enzi hizi za TV na stesheni kibao za redio?!.
Hiyo ni indentity yake kama Masako, mimi nampenda na namkubali sana, ukiondoa kumtangaza mmbunge mmoja tuu wa Musoma, Mhe. Nimrodi Mkono, kupita kiasi, najua ni kwa sababu ya mkono mrefu!.
Sisi wa zamani tunakumbuka enzi za Ben Kiko alikuwa na signature yake!, Bati Kobwa naye alikuwa na yake, David Wakati kwenye Nipe Habari, naye alikuwa na yake, kina Uncle J, Charle Hilary etc nao wana signature identies zao, mwache
"Mimii ni George.. Maratu, naaa Aiii ...Tiii .. Viii!" I like it!
Na Agyeman si kakwambia mawazo yake? Sasa tatizo liko wapi?
Kuna tatizo kuiga jambo mbalo unavutiwa nalo? Wakati mwingine kuiga ni kujifunza.
Tupige kura basii. Wanaokerwa waseme 'Ndiyo". Wasiokerwa waseme 'Siyo'. Siyooooooooooooooooooooooo. Wasiokerwa wameshinda ......................... lakini wamevuta sauti.ukweli utabaki palepale anakera wengi
napenda majibizano yenu,natamani muendelee.raha sana kwa mwanaume kuona watoto wa kike wakijibisahana.lolgood one ... next time do some little respect to what they do and who they chose to be. I mean mind your own business
Mbona watangazaji na waigizaji wengi, hasa wa kike, wanapenda kuongelea puani kama vile ni wazungu? Hiyo ni professional identity. Kila mtu akisikia anajua huyo ni Marato. Bibie ana wivu wa ki..............
Mimi sijaelewa hasa kinachokukera. Je ni pale anapomalizia habari kwa kujitambulisha ("mimi ni joooooji maaaratuu wa aaai tiii viiii"!)? Ama ni usomaji/usimuliaji wake mzima wa habari?
Binafsi na kwa hakika watu wengi ninaowafahamu huwa wanafurahia kile kibwagizo chake cha mwisho (anavyojitambulisha)!...ni kama brand yake hivi!