CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Kampa jezi nur 693,atampima kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Real Madrid.
Akilidhika na kiwango atampa mkataba mnono!
Akilidhika na kiwango atampa mkataba mnono!
Kampa jezi nur 693,atampima kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Real Madrid.
Akilidhika na kiwango atampa mkataba mnono!
mimi naona wewe ndo chizi ulieleta uzi huu.
We chizi ebu gonga hapa ndio utapike matapishi yako mshamba wewe:Stabroek news
wewe mwenyewe umesema atampima akiona anafaa atamchukua, sasa hapo uchizi wake uko wapi?Kampa jezi nur 693,atampima kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Real Madrid.
Akilidhika na kiwango atampa mkataba mnono!
tulishazigonga sana links kama hizo kwa mabo mbalimbali na bado yakawa si kweli yakiwemo vifo vya watu maarufu kama gaucho,eddi murfie n.k . acha upungufu wa kufikiria wewe, ivi fifa na uefa na chama cha soka uingereza unafikiri ni kama TFF yenu hapa bongo wakubali na kupitisha upuuzi kama huu. hao ma director wa soka wa man u unafikiri ni wakina rage au bin klebu mkuu. hauna mashiko mkuu, hata uko nchi za nje magazeti ya udaku na blogs za kidaku
naogopa bani.

SIO UNAOGOPA BAN! HAKUNA UJINGA KAMA UO KWENYE SOKA LA WINGEREZA HATA SIKU MOJA MKUU, HAYO NI MANENO TU, HATA KWENYE KANGA YAPO. SASA WEWE NA HAKO KAUPEO KAKO FINYU KA KUFIKIRIA KWELI UNA KUBALI HUSAIN BOLT ATACHUKUA NA YA SQUADE YA MAN U?
KWA SIFA GANI ZA KISOKA ZINAZOMFANYA HUSSEIN BOLT ATUE MAN U?
SHIRIKISHA AKILI MKUU, KAMA SOKA NI KUKIMBIA BASI TIMU ZOTE ZINGESAJILI WANARIADHA, NA HATA MICHAEL JOHNSON MAY BE ANGEKUWA AMESHACHEZEAGA BARCELONA, SASA KAMA NI IVYO WATA ANZA KUSAJILI NA WATU WAREFU WA BASKETBALL KWAAJILI YA KURUKA VICHWA, AFU WATASAJILI MABAUNSA KWA AJILI YA BEKI. tulia mkuu
Unafikili why magazeti ya udaku yanauza sana?acha vijimaneno hajamsajili sema atamuweka kwenye kikosi mwakani kwenye mechi ya mazoezi
Kaka umesoma kwenye gazeti la KIU au Ijumaa? Au umesoma kwenye vyombo vya hbari vya ng'ambo ila lugha imekuchenga?Kampa jezi nur 693,atampima kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Real Madrid.
Akilidhika na kiwango atampa mkataba mnono!