Huyu Dkt. Lucas Webiro ni nani?

Status
Not open for further replies.

OMUGISA

Member
Jul 4, 2013
5
0
Wabajamvi!
Nimekuwa nikiliona hili jina kwa siku za hivi karibuni. Naomba mnisaidie kumfahamu huyu jamaa nafasi yake katika Chadema mpaka anaitwa mhe.
 
nchi ya opportunists hii, kila mtu anadai ana uchungu ilhali wana uchu
 
KIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA ZIWA MASHARIKI,KADA WA CHADEMA,MWANACHAMA WA CHADEMA,MLEZI WA CHADEMA BUNDA MJINI HAPA MAWASILIANO NA ELIMU YAKE.

P. O. BOX 15582 ARUSHA, TANZANIA, EAST AFRICA
+255(0)767820074(Home)
+255(0)755 349703(Office)
+255(0)685475322(Weekend)
Email: webirogl@yahoo.com
TANZANIA.

• Doctoral Degree [Ph.D in Economics] College of Business and Management Sciences at Makerere University, June 2011 with distinction award.

• MBA Finance (with distinction) Head of Accounting Department, Faculty of Commerce and Management, University of Dar es salaam, February 2005.

• BCOM accounting (with 1st class Hons), University of Dar es salaam, June 2003.

• Advanced Secondary Certificate Education, Arusha secondary school, May 2000 with Division one of Four Points.

• Ordinary Secondary certificate Education, Bunda secondary school November, 1997 with Division one 8 points.
 
C.V kama hizi ni chache sana hapa nchini.
 
JF ni kila kitu,hii cv imekaa vema sana natamani angeingia mjengoni hata leo ampe pressure yule bi kiroboto
 
KIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA ZIWA MASHARIKI,KADA WA CHADEMA,MWANACHAMA WA CHADEMA,MLEZI WA CHADEMA BUNDA MJINI HAPA MAWASILIANO NA ELIMU YAKE.

P. O. BOX 15582 ARUSHA, TANZANIA, EAST AFRICA
+255(0)767820074(Home)
+255(0)755 349703(Office)
+255(0)685475322(Weekend)
Email: webirogl@yahoo.com
TANZANIA.

• Doctoral Degree [Ph.D in Economics] College of Business and Management Sciences at Makerere University, June 2011 with distinction award.

• MBA Finance (with distinction) Head of Accounting Department, Faculty of Commerce and Management, University of Dar es salaam, February 2005.

• BCOM accounting (with 1st class Hons), University of Dar es salaam, June 2003.

• Advanced Secondary Certificate Education, Arusha secondary school, May 2000 with Division one of Four Points.

• Ordinary Secondary certificate Education, Bunda secondary school November, 1997 with Division one 8 points.

Cc: OMUGISA
 
Last edited by a moderator:
Niwaulize makamanda wa CHADEMA kama mnamfahamu vizuri huyu jamaa.

Kwa kifupi the guy is corrupt kuliko a good number of mafisadi wa CCM. Ni vile tu hajapata nafasi ya kuiba vizuri. Hivi mmefuatilia kesi zake za wizi kwenye halmashauri? He is an opportunistist of the highest order! He stands for nothing except power. Hatuwezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa kuwategemea watu kama yeye. Huyu ni msanii wa kiwango cha juu kabisa. Mnajua ni school mate wa mkuu wa mkoa wa Arusha (Magesa) na aliingia CHADEMA baada ya Magesa kuhamia Arusha? Je mnafahamu mawasiliano yake na Magesa?

Nisidhaniwe nina chuki binafsi na huyu jamaa, la hasha ni mapenzi yangu tu kwa mabadiliko chanya kwa nchi hii ndio yamenisukuma kuandika hii. This guy si mpiganaji, he is a gun for hire na he doesn't belong there. CHADEMA si mahala pake

Amkeni makamanda mmeingiliwa!
 
Huna lolote mnafiki wewe.Dr Webiro kila wiki anapiga mikutano Bunda na ameshatembea karibu vijiji vyote.

Anafungua matawi kama mvua na mtu wenu Stephen Wassira anapumulia mashine.

Kawaambie wanaCCM wenzako nimewakuta wako macho hawadanganyiki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom