Huyu dada yangu nimeshindwa kumwelewa kabisaa.

Mwambie ukwel haiwezekani na hakuna kuwasiliana nae hata km n ndugu yako wa karbu maana huyo hajaridhka na undugu anataka vingine,mpotezee bdae atakata tamaa na itakua aibu yake ulokole gan huo?shame on her nna shaka na huyo Mungu anaemuabudu,
 
Mlianzaje asee.....hadi mkafika kuambiana hayo...
ndugu yangu huyu dada yangu amewahi kuishi kwetu (kwa wazazi wangu) wakati anasoma nursing,kwa hiyo nilizoeana naye sana pia ananifahamu sana na kingine labda ni kwa sababu kuna demu wangu mmoja alikuwa ananisifiaga wazi wazi mbele yake kwamba najua mapenzi pengine nahisi ndo sababu yakutaka na yeye aonje.
 
thax but pia nahisi aunt yangu anampa kichwa maana nikifika lazima awapigie mabinti zake wote na anawambia mume wenu kaja.

Mkuu inaonekana ukoo wenu binamu rukusa kumgegeda mpaka aunt anawaambia hivyo? We mwambie ukweli kama humtaki, kwanza nimlokole mueleze dhambi ya kuzini ilivyombaya, na anatafte mme aolewe tena wanaume wapo kibao hawezi kukosa.
 
Mwambie ukwel haiwezekani na hakuna kuwasiliana nae hata km n ndugu yako wa karbu maana huyo hajaridhka na undugu anataka vingine,mpotezee bdae atakata tamaa na itakua aibu yake ulokole gan huo?shame on her nna shaka na huyo Mungu anaemuabudu,
nashukuru but kuoka aliokoka baada ya mtoto wake kuanza kufuatwa fuatwa na wachawi sasa ili maombi ya ende vyema akashauriwa na yeye aokoke but haikuwa toka moyoni mwake
 
Ngoja kwanza.....
Una umri gani? Na arusha unaendaga kikazi ama ndo kwenu? Ni lazma ufikie kwa aunt na usikae gesti?
thax but pia nahisi aunt yangu anampa kichwa maana nikifika lazima awapigie mabinti zake wote na anawambia mume wenu kaja.basi huyo anayenitaka lazima aje nyumbani na akifika ni lawama kwa nini nimekuja kimya kimya,ni maswali mengine mengi kama utakaa siku ngapi.pia akiwa anarudi kwake ananiomba nimpe kampani,njiani yaani inakuwa full usaili
 
hehehehe nicheke mie,hata kukataa hilo pepo mpaka uombe ushauri,au kuna jibu unalo kichwani unakusanya maoni na mitazamo ya watu watasema nini.Hebu kemea pepo
 
anajichoresha tu.kuokoka gani huko?kama mwenyewe anavyosema ameokoka,mpe mistari ya biblia.tena jaribu kuwa mkali nae.nina amini kama mtu anathubutu kukuomba wewe,basi hautokuwa wa kwanza,na mwengine ataombwa tu.nyege gani hizo?na uokovu gani huo?
 
We jamaa unataka kumgegeda sema umeleta hii issue hapa ili upate go ahead ya wana mmu. Coz kwa mtazamo wa haraka haraka mi sioni case ya kuleta kwetu mpaka utake ushauri kama kweli uko serious na unamaanisha.
 
ndugu yangu huyu dada yangu amewahi kuishi kwetu (kwa wazazi wangu) wakati anasoma nursing,kwa hiyo nilizoeana naye sana pia ananifahamu sana na kingine labda ni kwa sababu kuna demu wangu mmoja alikuwa ananisifiaga wazi wazi mbele yake kwamba najua mapenzi pengine nahisi ndo sababu yakutaka na yeye aonje.

Msichana kumtongoza mvulana ina ukakasi sana! Sasa tena ndugu ndo next to impossible. Ni ngumu....
Nadhani na wewe uliruhusu hiyo hali ya kutokea....ulimshawishi awe na nguvu ya kukutokea....!
 
thax but pia nahisi aunt yangu anampa kichwa maana nikifika lazima awapigie mabinti zake wote na anawambia mume wenu kaja.basi huyo anayenitaka lazima aje nyumbani na akifika ni lawama kwa nini nimekuja kimya kimya,ni maswali mengine mengi kama utakaa siku ngapi.pia akiwa anarudi kwake ananiomba nimpe kampani,njiani yaani inakuwa full usaili

Si aunt kakumilikisha kuwa kama muarabu, mchape tu
 
Mwambie na wewe umeokoka na kuwa hupendi kumuudhi Mungu kwa dhambi ya zinaa. mshauri afunge na kuomba ili aondokane na hiyo tamaa.
 
hv huyo binamu yako! aliyemwambia wokovu ni kuachana na mume na kwenda kut****a na ndg ni nani? bila shaka huyo binamu yako katumwa na shetani! tena ana jini mahaba! ye mshenzi nini! kheee! eti sitaki mwanaume! kwa hiyo we ni nani? wanadamu bwana! mi nafikiri wanyama wamekuwa na nidhamu, akili na utashi kuliko binadamu huyo! hata tukimpeleka akaishi na wanyama, hawata mpenda kbs. maana atawapelekea ushenzi alionao yeye.
 
duh!! mbona wamtolea mwenzio maneno makali!?!! ama wee hujagegedwa ama kuzini maishani mwako? ebu kama nyie wasafi sana basi mkemee hivyo hivyo wale wanaokuja hapa na mada za kugegedana kabla ya ndoa au kwa sababu mnafanya ndio hamtaki kukosoa.
 
Mkuu inaonekana kama wewe ndio hujaamua. Kwani unamuonea aibu kumwambia hutaweza kuzini naye? sasa unakimbia kivuli chako mwenyewe? mwambie tu straight hutakaa uweze kufanya hio kitu, come rain come sun, period. acha kumzunguka zunguka.
 
anajichoresha tu.kuokoka gani huko?kama mwenyewe anavyosema ameokoka,mpe mistari ya biblia.tena jaribu kuwa mkali nae.nina amini kama mtu anathubutu kukuomba wewe,basi hautokuwa wa kwanza,na mwengine ataombwa tu.nyege gani hizo?na uokovu gani huo?

kwanza waliookoka wana nyege jamani wala msidhani wao ni wasafi sana. bado binadamu na bado watakuwa na mapungufu yao.

huyu labda kataka nduguye ili ajienjoy kimya kimya jamani hataki tabu ya wanaume kumdanganya alafu kumchezea tuu.
 
anataka aprove kale
ka usemi ka binamu nyama ya hamu lol!!
kwani kakosa wanaume mpaka wewe?mpe
za uso na asikuzoee!!be a man acha kuogopa kisa ndugu!!
 
Back
Top Bottom