Huyu Chifu Msopa ni Nani?Katumwa?

LebronWade

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,615
1,504
Kwenye taarifa ya habari TBC1 leo 23/11/2011 saa mbili usiku,kuna haka kachalii kanaitwa sijui Chifu Msopa kutoka sijui chama cha wapenda amani tanzania (if that is).

Madai yake eti wanaiomba serikali isiruhusu maandamano yaliyopangwa na asasi zisizo za kiserikali kupinga kupitishwa kwa mswada feki wa mchakato wa katiba mpya eti utavuruga amani ya nchi,kwa madai yake eti wao wanapenda saaana amani.

Huyu chalii anavoongea povu linamtoka na utajua katumwa tu na anaongea kama kasuku tu.Alikua na mwenzake nae hamnazo anatingisha kichwa tu kama zuzu.Hivi vichalii vimetoka wapi?At least wasifu wao tu,nani kawatuma?Aaaaagh.
 
Kwenye taarifa ya habari TBC1 leo 23/11/2011 saa mbili usiku,kuna haka kachalii kanaitwa sijui Chifu Msopa kutoka sijui chama cha wapenda amani tanzania (if that is).

Madai yake eti wanaiomba serikali isiruhusu maandamano yaliyopangwa na asasi zisizo za kiserikali kupinga kupitishwa kwa mswada feki wa mchakato wa katiba mpya eti utavuruga amani ya nchi,kwa madai yake eti wao wanapenda saaana amani.

Huyu chalii anavoongea povu linamtoka na utajua katumwa tu na anaongea kama kasuku tu.Alikua na mwenzake nae hamnazo anatingisha kichwa tu kama zuzu.Hivi vichalii vimetoka wapi?At least wasifu wao tu,nani kawatuma?Aaaaagh.[/QUOTE
]

Hivi wewe bado unapoteza muda wako kutazama hiyo tv ya magamba?
 
Umepoteza Muda wa kuangalia hiyo TV ya Magamba,pili umepoteza muda wako kwa kutaka kujadili Mambo ya Mataahira
 
Huwa ninamwonaga mara nyingi pale makao makuu Lumumba sikujua jina lake ni chifu Msopa
 
kanichefua sana..aaongea mambo yake ya kishoga hapa..dume zima linavaa vibidy tight kama sio u punga ni nini
 
Jamani yaani nimeanini kuna watanzania punguani, nimemwona hy chifu akitema upupu anaskitisha, na huyo mwenzie anatingsha kichwa kama hayawani asyejua nn anafanya. Nyambafu.
 
namshangaa chifu msopa anapiga kelele bure kwanza waandamaji wenyewe wapo? waoga kama kunguru.
 
.......mpuuzeni, keshaingiza siku huyo! pamoja na hayo anahitajika kusoma alama za nyakati.
 
huyu jamaa nilivyo muona anaweza kuwa mke wa mtu.maana haileweki anaongelea amani ipi.tbccm ndo zao kutangaza uguro
 
huyo mpuuzi nimeanza kumuona kampeni za 2010,nafikiri ni ustadh flani anayetumiwa na magamba,amuulize tambwe alipo
 
WOOOOTE HUO NI UBATILI! Hakuna msopa wala al shababu. Ni dhaifu wa kile tunacho kiita serikari
 
Back
Top Bottom