Huyo ndiye Ben Saanane na majibu ya Zitto

Status
Not open for further replies.
kumbe chadema ishu sio maendeleo ya nchi bali kujengana na kubomoana! kwa hiyo Zito pamoja na mambo yote aliyoyafaya kwa taifa hili chadema wanatakiwa wambomoe sasa! ok!kumbe hiyo ndio chadema.nimeelewa vizuri sasa!

kwa hiyo kama amefanya mema akaanza UNAFIKI na USALITI aachwe
 
Hawa vijana wa chadema bure kabisa njaa zinawasumbua na jinsi tunavyoelekea 2015 wanajf mtaona maajabu,hela ccm tayari imesambaa kila mahali na aina ya vijana wa chadema ninaowajua ni w3achache sana wa kuweza kuhimili huu mziki wa ccm....tatizo hawa vijana hawakufanyiwa vetting kabla ya kupewa uongozi....chadema kutoboa 2015 ikwa salama kwa vijana hawa ni suala la kusubiri na kuona lakini kwa muono wangu ni vigumu:target:
 
Naona chadema mnaweweseka sana ,
mwaka huu mpaka uishe mtakuwa mmefukuza kila mtu hadi bendera yeu mtaifukuza kwa saababu kila siku mnaota mmehujumiwa.
Mie nadhani mngetilia maanani sera za chama badala ya kutimuana kama kuku,
Leo hii hamjashika serikali vumbi linatimka huko vijiweni , jee mkiingia ikulu na kuwa na uwezo wa kumiliki majeshi itakuwaje.? si mtakuwa mnatumia bunduki kuulia mbu nyiyi?

tumekusikia chris lukosi na sisi tutarudi CCM
 
Kamanda Fergusonema,

Hebu tuwe tunajenga hoja. Sija muhukumu Zitto wal kumchafua. Nakuomba usome vema uzi wangu. Hakuna sehemu niliyo sema Zitto anafanya haya. Ila nimesema yanasemwa na ni kwa nini yeye tu? N nime weka wazi kuwa hakuna 100% uhakika. Ila kama anafany awe muangarifu na AACHE HARAKA.

Dawa kuchanana tu Wewe umetumwa na Mbowe au?

Toka hapa na uzushi wako,hakuna cha uzalendo wala nini ni walewale mnaitaka kumchafua Zitto na tutamlinda mpaka dakika ya mwisho,akiondoka na sie tunaondoka tumechoka na uzushi na ujinga wenu
 
Huu uzi unashiria mpasuko mkuu kwa chama changu chadema 2015 tutafika kweli? Vijana wanataka mabadiliko ila sio wavumilivu ni rahisi kununuliwa na kura yangu sitompa kijana yeyote najifunza mengi hapa

Hakuna mahali popote duniani ambako dagaa mchele wamewahi kupindua meli , bali meli yaweza kupinduliwa na Nyangumi au miamba mikubwa , ikiwa kama M/kiti na K/mkuu hawana ugomvi usitegemee Mpasuko wowote CHADEMA , hebu fuatilia mgogoro wa NCCR Mageuzi .
 
Kamanda fergusonema,

Punguza munkari, hapa hatishiwi mtu. Tunaongea tunayo yaona na inaonesha wazi wewe ni dhaifu ktk kujenga hoja.Si amini upo jamii forums hoja yako hii "hivi wewe hata kiswahili chenyewe hujui halafu eti unamtisha Zitto" Naona unatype lakini sioni unacho andika. Kwani kuto kujua kiswahili, kumtisha au kufikisha message kuna tatizo gani?

Usiwe unatumia makalio kufikili kamanda. Njoo na hoja hapa ni JF, otherwise nenda Facebook.
 
Last edited by a moderator:
ZITTO ni mtu smart na makini kwa wanaojua historia yake.

Mkimfukuza, huo ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA.
 
Hakuna mahali popote duniani ambako dagaa mchele wamewahi kupindua meli , bali meli yaweza kupinduliwa na Nyangumi au miamba mikubwai .

Bro wewe unaishi dunia ipi, kwani hujui chanzo cha kupinduka kwa ile MV SKAGIT ilikuwa ni dagaa mchele?!
 
Inawezekana wewe unayewaita wenzio wasaliti ndo ukawa msaliti mkubwa, watu mnasaliti hata nafsi zenu wenyewe
 
ZITTO ni mtu smart na makini kwa wanaojua historia yake.

Mkimfukuza, huo ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA.
CHADEMA imeanzishwa mwaka 1992,mwaka huo Zitto alikuwa anatoka makamasi na Mbowe alikuwa kati ya waasisi,how come unatutajia mtu tuliyeanza kumjua mwaka 2007 baada ya kutuhumiwa kutembea na Amina Chifupa?(r.i.p),..aliondoka Kaborou itakuwa yeye?
kama yeye mjanja nje ya CHADEMA mbona anang'ng'ania haondoki?anajua nje ya CHADEMA kwisha habari yake
 
--- Why CDM is not kicking out this guy..!!??

--- He is not loyal to cdm & hypocrite too....

--- He seems to act like President....

--- He pretends to be very intelligent....

--- In general ANAPENDA SIFA ZA HOVYO AS WELL HE CAN BE BRIBED EASILY....

-- he is CDM cancer ... get rid of him ASAP.. !!

They aint kicking him out coz he aint wat people talk about hm...have u ever heard Mbowe or Slaa arguing or saying that Zitto is a betrayer? Hopeful u havent. So people talking shit about zitto are narrow minded guys without future...
 
Hii mada haitathibitika na haiwezi kubeba uzito hadi tusikie kauli ya Ben Saananae.

Haya ni maneno na tuhuma nzito sana kwa baadhi ya makamanda au wanaojifanya makamanda. Sijui Kamanda Ben yuko wapi, ngoja tumsubiri
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom