Huya dada wa Jf ana roho mbaya sana

Dada wa watu ameandaa sembe yake murua .... alipo enda chukukua vipande vya kuku .. bobi alisha komba zamani .. hata ungekuwa wewe unge- msulubu tuu
 
Hawa viumbe bila displine hawaendi!Enzi za utotoni Kuna kapaka nilikachukua home sasa kakawa kana kata gogo magetoni siku nilipo kuja jua nika kachukua vaa gloves then nika kapakaza sana kwenye yale mavi yake yaan kila kikijinusa hakajitamani hadi leo hakuwai rudia!
 
Back
Top Bottom